Waterloo
JF-Expert Member
- Nov 30, 2010
- 25,356
- 38,922
Ok200,000 tu
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ok200,000 tu
Tukumbushane200,000 tu
Hahahaha, uzuri gwaji boy kampeni atajigharamiaNami pia mjumbe wa kawe. CCM wamekosea kumweka Gwaji boy maana hana watu kuanzia kunduchi, mbezi beach mpaka kawe kwenyewe. Watu wake wanatoka pande zingine za Dar na wataopiga kura ni wana kawe
Halima anafurahi tu huko alipo baada ya kumjua mpinzani wake
Nakufollow kabisaa ili nikumbuke vzrTukumbushane
Mimi mwenyewe.sitaki kuiacha hiyo helaNakufollow kabisaa ili nikumbuke vzr
Hakuna ubishi mkuuSijui ila Mbeya ina rudi CCM
Una utimamu kichwani ?Hakuna mechi kalii Chadema watashinda majimbo mengi sana ccm mwaka huu wanapigwa chini nchi mzima kwasabau ya sera mbaya za uchumi
Mahaba niue, realistically expect opposite results.
hiyo mechi ya ACKSON TULIA na SUGU mbona unamkosea sana A.TULIA maana ni mechi nyepesi mno kwake tena anashinda saa 3 asubuhi.....1: Mwita Waitara Vs John Heche - Tarime Vijijini
2: Tulia Acskon Vs Sugu - Mbeya Mjini
3: Askofu Gwajima Vs Halima Mdee - Kawe
4: Mrisho Gambo Vs Godbless Lema - Arusha Mjini
Hizi ni mechi kali sana za kukata na shoka .
Nategemea wote wafanye kampeni za kistaarabu, wakinadi sera zao ili tuamue nani wawe wawakilishi.
Mkuu hivi unamaanisha au kusukuma siku.Acha kujitekenya mkuu....
Tundu Lissu ndio rais hao umewataja ni mawaziri muhimu sn kwenye serikali yake......
Hayo maeneo uliyoyataka hakuna watz mapoyoyo huko wote wanaakili timamu
Kama lile pornstar lililopitishwa huwa linawala wanaume wenzake na kuvunja ndoa za watu eg ndoa ya mbasha mwaka huu tunalinyoosha labda misukule wake walipigie"Ni heri nimuchague mtu anaekula kondoo wake kuliko kumuchagua mtu anaefanya mapenzi ya jinsia moja" Alisikika mpiga Kura mmoja kutoka Jimbo Fulani la Dsm.
Unafail sana sikuizi hauwezi kuficha ujinga wakoSaikolojia ya wapiga kura imbedilika kwa 180° kutoka kusikiliza Maneno matupu kwenda kuona anayesema ametenda au amewahi kutenda nini.
Haya ni matokeo ya ukimya wa kisiasa miaka 5.
Sina wasiwasi wapinzani wao watashinda kwa matendo mema ya Mwenyekiti wa CCM na Rais wa JMT. Wao watashindwa kwa Maneno mengi mazuri ambayo sio hitaji LA watanzania kwa jinsi walivyotengenezwa miaka 5 iliyopita.
Upepo huu utapita had I kwa mgombea yoyote wa upinzani ktk kiti cha urais.
Wafuasi wekeni Akiba ya hisia ili msijezirai kwa mishtuko ya matokeo ambayo mngeelewa utabiri wangu angalau mngeishia kuumwa kichwa tu.