Mechi kati ya Al ahly Vs Raja na CR Beouilzdad Vs Mamelody

Kikosi cha Mamelody wanaokipiga siku ya leo ni wachezaji wawili tu ndio wageni Boutoul Raia wa Moroco na Shalulile Raia wa Namibia wachezaji tisa waliobaki wote ni wazawa.

vivyo hivyo kwa Bouilzada wachezaji wawili Iwuala ni raia wa Nigeria na Laurent Wamba ni raia wa Cameroon wachezaji tisa waliobaki ni wazawa.
 
Njoo simba na yanga sasa
 
Mamelody na Wydad wote ni same level

Ukiangalia H2H kwenye michezo 10 waliyokutana utaona Mamelody kashinda mechi 3 wakati Wydad kashinda mechi 4 halafu draw ni 3
Unawaangalia Mamelodi wanachofanya?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…