Mechi ya Dar Young Africans vs Mamelodi Sundowns yapewa heshima ya siku ya Mudathir aka Muda Day

Oi unaizugumzia al ahly ipi au hii hii iliyochukua cafcl msimu jana??? Kwa taarifa yako al ahly ndiye bingwa tena msimu huu. Nimekaa miaka mingi africa takribani 7 yrs nimegundua al ahly hatumii nguvu kubwa ktk hatua ya makund lakn katk hatua za mtoano dadeki nanyi ni mashahidi.hanaga cha mswalia mtume ijumaa ni siku ya ibaada na ahly kaitenga maalum kumaliza kaz ugenn ili kutunza energy hatua inayofuata.karibuni kwetu afganistan kwa sasa tanzania
 
Umesoma ukaelewa? Al Ahly alikuwa anashindania mataji mangapi na kabakia mangapi?
Kwenye mashindano ya CAF kabakiza klabu bingwa pekee huku akipoteza CAF super cup na African football league. Au unadhani kajikosesha makusudi hayo mataji mengine?
Ishu sio kutumia nguvu nyingi swala ni kwamba Al Ahly kwasasa imekuwa ni timu inayotengeneza nafasi nyingi lakini wanashindwa kuzitumia ipasavyo. Na hata mechi dhidi ya USMA, Mamelod, Simba, Belouizdad na pia dhidi ya Yanga imekuwa ni tatizo hilo hilo. Labda kama mpira hauangalii.
 
Kwanini utoe mechi sita za mwisho badala ya kuchukua mechi sita za mwisho ili uone progress ya H2H ya Al Ahly dhidi ya Mamelod ili ujue muelekeo wa yupi anaenda kuwa kibonde dhidi ya mwenzie?
Hata wanaofanya analysis huwa wanachukua H2H kwa mechi kadhaa za mwisho ni ajabu kwako kuyaweka pembeni ya mwishoni na kuchukua ya enzi hizo.
Umesema tuchumue H2H sita za mwisho sio
1) msimu wa 2023 Mechi 2 Mamelod kashinda 1 sare 1
2) msimu wa 2022 mechi mbili: Mamelod kashinda zote
3) Msimu wa 2021 mechi 2: Al Ahly kashinda 1 sare 1

Kwenye mechi sita za mwisho Mamelod kashinda mara 3 Al Ahly kashinda mara 1 pekee.
 
Kwa hiyo ukiambiwa utoe mechi 6 za Ahly na Mamelodi ili kupata uwiano sawa na H2H ya Simba na Ahly, we ungetoa mechi gani?
 
Kwa hiyo ukiambiwa utoe mechi 6 za Ahly na Mamelodi ili kupata uwiano sawa na H2H ya Simba na Ahly, we ungetoa mechi gani?
Kwavule ni swala la H2H na inatakiwa mechi 6 basi zitachukuliwa mechi 6 za mwisho walkzokutana Al Ahly na Mamelod.
 
Ila mashabiki wa mikia ni mambumbumbu kweli, mechi kua moja ndio kuipa heshima!?.
 
Kwavule ni swala la H2H na inatakiwa mechi 6 basi zitachukuliwa mechi 6 za mwisho walkzokutana Al Ahly na Mamelod.
Kwa hiyo mechi 6 za mwisho walizokutana dio utaziondoa ili kupata uwiano?
 
Weka rekodi hapa tuone simba kama kweli kawahi kumfunga Al ahal mara 3, la sivyo utakua kichaa wa pale mwembe hanga.
 
Yanga wakitumia mbinu zile ambazo hutumia Petro de Luanda anaweza kushinda vizuri tu.

Petro de Luanda wanaisumbua sana Mamelodi wakikutana na wanafanikiwa kuifunga Mamelodi.
Kwa hivi Mamelodi wanafungika kama tu timu zingine katika soccer.

Lakini Yanga watumie mbinu zaidi kutumia wasije wakaingia katika mtego wa Mamelodi, Yanga wanaeza kutumia viungo wa pembeni right and left flanks kukimbia kwa haraka katika transition kutanua uwanja kutumia counter bila kuzubaa na kushambulia kupata magoli, kucheza long and accurate pass na viungo wa kati kuvuruga na kuharibu mipango ya Mamelodi.

Yanga wawe makini sana wasichezee sana mipira watumie pira guu la roho, guu la shingo, guu la tembo mana niliota katika ndoto Yanga wamefungwa goli mbili au zaidi, kushtuka ni ndoto lakini ndoto zangu uwa ni kweli.
 
Ushauri mzuri sana
 
Hivi huu mtindo wa kumpa mchezaji mechi una matokeo + au -.
 
Timu yenye uwezo wa kutengeneza nafasi nyingi ni ya kuiogopa, saa yoyote chochote kinatokea.
 
Kwa hiyo mechi 6 za mwisho walizokutana dio utaziondoa ili kupata uwiano?
Kwani kwa kawaida H2H inaanza kuhesabiwa tokea wapi hadi wapi?
Mimi nachojua H2H inaanza kuhesabiwa tokea mara ya mwisho kukutana kurudi chini. Ukitafuta head 2 head za Al Ahly vs Memolod utaona wanaanza kuhesabia game yao ya mwisho kisha ndipo wanarudi nyuma.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…