MECHI ya kufa mtu MANCHESTER CITY vs REAL MADRID nani anaenda fainali

Kila laheri city

My prediction

City and Villa real, final
................OR...................
Madrid and Villa real, final


Liverkuku out, labda waendelee kubebwa kama kawaida yao
Unakumbuka tulichomfanya messi kabla hajatimka barca? Ndio hicho tutamfanya huyo nduguyo Villarreal
 
Hao wanakiona kombe wanatama lazima wabebe hapo nusu man city naona anatoka kweupe
 
Faunali ikiwa Mancity na Liver itakuwa na mvuto wa aina yake. Huku ligi huku Uefa. Ila naiombea sana city ichukue UEFA.
Wakiingia liverpool na city ngoma nzito, mapenzi yangu yapo kwa Liverpool achukue lakini namjua vizuri pep hawezi kukubali kupigwa tena, na nina wasiwasi hiyo fainali itafika kipindi ambacho liverpool anachukua epl kazi itakuwepo.
 
City anawapiga wote anaenda kuchukua kombe, labda Guardiola alete ule ujuaji wake kwenye team selection wakuacha kumtumia kiungo mkabaji.
 
Villa real mpaka sasa ndio timu pekee inayotoa Surprise kwa wapenzi wa kandanda duniani
Surprise ya kwanza kafanyiwa Atalanta wakiwa kwao Italy
Ya pili kafanyiwa Juventus wakiwa nao kwao Italy
Ya tatu kafanyiwa Bayern Munich

Sio timu ya kutabirika hao
 
MTOTO halali na pesa, yake mavi TU[emoji4]
Mkuu binafsi simpendi Kipara hata kwa 0.001% lakini kiukweli tu mwaka huu kombe la UEFA champions league limempenda hasa, sasa tufanyeje zaidi tu ya kushuhudia leo atavyommiminia Real Madrid mvua ya kutosha ya magoli mengi [emoji848][emoji16]
 
Wakiingia liverpool na city ngoma nzito, mapenzi yangu yapo kwa Liverpool achukue lakini namjua vizuri pep hawezi kukubali kupigwa tena, na nina wasiwasi hiyo fainali itafika kipindi ambacho liverpool anachukua epl kazi itakuwepo.
EPL ni ya Man City kwa mtizamo wangu, tuombe uzima kwa Mungu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…