IamMrLiverpool
JF-Expert Member
- Apr 27, 2014
- 4,878
- 7,526
Nasubiri kuona Kama utopolo wataleta tena propaganda za madeni πΉNasubiri nione kama watasimamisha mikia kugoma
Wakilipwa niambie π€£Vipi mmelipwa songesha yenu?
Live hiyoHii sio AI hii...
Moja ya maeneo ntakayofanyia maboresho ni mpira hautendewi hakiWewe raisi unafanya nini kwenye nyuzi za kijinga jinga namna hii? Huku ulipaswa kuingia na ile I'd ya 2017 na sio hii ya raisi wetu kipenzi cha watanzania π€
Kabisa naunga mkono for sureMoja ya maeneo ntakayofanyia maboresho ni mpira hautendewi haki
Aliyeamri mechi ichezwe trh 25 n bodi ya ligi au mwenye bunduki za serikali?. Yanga wamewagomea bodi ya ligi mpk mwisho... Kilichotokea n mamlaka nje ya mpira ndio yametumika kumlazimisha yanga acheze.Takwa lilikua viongozi wajiuzulu ndio mpeleke timu uwanjani. Sasa hilo limetimia? Hebu tumia akili kidogo kutengeneza hoja
Nani aliyesema kuna point za mezani? Hii mechi toka ilipoahirishwa ilikuwa inajulikana lazima ichezwa na iliahirishwa kwa sababu za kisiasa zaidi.Point za mezani hazipo Tena ndugu,,kuhusu kujiuzulu kwa viongozi wa bodi ambalo ndio lilikuwa sharti la yanga subilia kuanzia wiki ijayo utapata majibu ya swali lako
Ghasia gani wakati tafrani zote zimesababishwa na mambo ya siasa? Kama siasa zisingeingizwa wala haya yote yasingetimia.Kaingia kutuliza gasia tu, maana Tff walishafeli njia pekee ya kuokoa mpira uchezwe ilikuwa hii!.
Una hasira sana kunywa maji mengiYanga imebarikiwa kuwa na viongozi na mashabiki wajinga sana
Umevurugwa mkuu. Madai ya pesa yanahusiana nini na mechi ya ligi kuu?π€£π€£π€£Vipi mmelipwa songesha yenu?
Samia aliwaita pande zote mbili πPendekezo la Yanga ilikuwa hata kama kuna suluhu itapatikana basi mechi haiwezi kuwa tarehe 15 na mechi imeenda tarehe 25 wametepetaje?
Pia kuna waraka umetumwa jana na mikia kuwa hatacheza mechi yoyote zaidi ya tarehe 15. Nani katepeta?