Ukichunguza kwa makini unakuja kugundua hizi timu za SIMBASC na YangaSC zinatumika kisiasa kuhamisha mijadala muhimu ya kitaifa. Kama sasa watu wiki nzima watakuwa wapo kubishania nani mshindi na mshindwa, huku mambo ya bajeti iliyopita jana ikipotezwa.Spinning code hii ili tusijadili ishu ya deni kuongezeka kwa spidi bila maelekezo.
Sasa tunawataka mtumie nguvu Ile Ile mliyotumia kuitangaza mechi ya trh 15 muendelee kuitumia kutangaza mechi ya trh 25,,tunawajua kuliko mnavyojijua na malengo yenu yamekwama Rasmi!Nani alikwambia Simba wanataka point za mezani?
Kumbe sio mabaunsa Tena ilikuwa ni sababu za kisiasa?Nani aliyesema kuna point za mezani? Hii mechi toka ilipoahirishwa ilikuwa inajulikana lazima ichezwa na iliahirishwa kwa sababu za kisiasa zaidi.
Ilikuwa inatafutwa siku ambayo rais atakuwepo ili atumie jukwaa la michezo kwa mambo ya kisiasa. Na hata Yanga walikuwa wanalijua hili, Azam TV na NBC kama wadhamini wa ligi walikuwa wanajua na ndio maana hakuna sehemu waliyolalamika.
Acha kujidai hukumbuki wewe.. Mama yako alikuwa Arusha kwa siku ya wanawake na kwa jinsi hali ilivyo ingekuwa ngumu kuhudhuria matukio mawili yanayofanyika sehemu mbili za nchi kwa mpigo (hiyo haraka haikuwepo).Kumbe sio mabaunsa Tena ilikuwa ni sababu za kisiasa?
Kwani mbona una haraka? Unajua walichokubaliana? Kabla ya trh 25 Kuna wiki nzima hapo kati kati unajua kinachofata?Na nyinyi tunataka mbaki na msimamo uleule mliposema mpaka viongozi wa bodi wajiuzulu ndio mpeleke timu kucheza
Hakuna kilichowekwa sawa, ni wazi yanga wanadaiwa ndio maana wakakwepa kupeleka mtu wao wa fedha TFF ili kuhakiki madeni kwani hiyo ndio ilikuwa njia pekee ya kupata ukweli.Nadhani lazima watakua wameweka sawa hayo mambo hasa kuhusu malipo yao, na kwa maoni yangu mimi, wale viongozi hata kama hawataondolewa basi watakua wamejifunza kitu kupitia moto walipata safari hii.
Unataka wamgomee rais?Jana Simba walitoa Barua yao, tuone sasa kama wana Akili ngumu na Rais ameweka watu mfukoni leo!
Ila Yanga naona kafanikiwa kuhairishwa kwa mechi, basi Simba ni mikwara tu!
Rais na FIFA nani mwenye nguvu kwenye soka?Unataka wamgomee rais?
Dabi ya Kariakoo ya June 15 imesogezwa mbele Kwa mara nyingine tena
BODI ya Ligi Kuu Tanzania (TPLB) imeusogeza mbele mchezo namba 184 wa Ligi Kuu ya NBC kati ya klabu ya Yanga na klabu ya Simba ambao ulipangwa kufanyika kwenye uwanja wa Benjamin Mkapa Juni 15, 2025 kuanzia saa 11:00 jioni.
Mchezo huo sasa utafanyika Juni 25, 2025 kwenye uwanja wa Benjamin Mkapa kuanzia saa 11:00 jioni.
Bodi inazitakia maandalizi mema klabu za Yanga na Simba kuelekea mchezo huo.
View attachment 3367072
Tuone sasa kama Simba wana ubavu wa kugomea hio tarehe.Dabi ya Kariakoo ya June 15 imesogezwa mbele Kwa mara nyingine tena
BODI ya Ligi Kuu Tanzania (TPLB) imeusogeza mbele mchezo namba 184 wa Ligi Kuu ya NBC kati ya klabu ya Yanga na klabu ya Simba ambao ulipangwa kufanyika kwenye uwanja wa Benjamin Mkapa Juni 15, 2025 kuanzia saa 11:00 jioni.
Mchezo huo sasa utafanyika Juni 25, 2025 kwenye uwanja wa Benjamin Mkapa kuanzia saa 11:00 jioni.
Bodi inazitakia maandalizi mema klabu za Yanga na Simba kuelekea mchezo huo.
View attachment 3367072
Sio nyie mlioapa hamtocheza si tu na Simba bali mechi zote zilizobaki mpaka Katibu wa TFF, Mwenyekiti wa bodi ya ligi wajiuzuru? Na nasubiri nione kama fainali na Singida hamtochezaNyooo kiko wapiiiiii๐๐๐๐๐๐haya 5imba mkimbie tena
Duuuh kwa hio wataenda kufanyaje uwanjani?
Kwisha habari!Kwisha hili lilishajulikana muda tu ๐๐
Hapo vipi๐
Mambumbumbu mkuu hayanaga akili!Pendekezo la Yanga ilikuwa hata kama kuna suluhu itapatikana basi mechi haiwezi kuwa tarehe 15 na mechi imeenda tarehe 25 wametepetaje?
Pia kuna waraka umetumwa jana na mikia kuwa hatacheza mechi yoyote zaidi ya tarehe 15. Nani katepeta?
Hoja mojawapo ni kuwa tarehe 15 wasingecheza na kweli hiyo tarehe hakuna mechi, madai mengine yataendelea kudaiwa. Sasa Simba na barua yenu ya mchongo na madai kuwa hamchezi tarehe tofauti na 15 fungueni mdomo tuwaone sasa!Yanga kafanikiwaje wakati matakwa Yao hakuna lililotimizwa?
HatucheziNyooo kiko wapiiiiii๐๐๐๐๐๐haya 5imba mkimbie tena