Mechi ya Simba vs Mtibwa na Ihefu, siyo kipimo sahihi kwa kwa mchezaji Jean baleke na kuanza kumuita "the goal machine"

"Nb: mechi kumi za mwisho mashindano yote: Baleke goli 12,Mayele goli 4."

Hata Kama baleke atakua na magoli kumi na mbili kumzidi mayele lakini bado mayele ataitwa the goal machine kwa sababu mpaka Sasa ana magoli mengi

Huyo balleke kwa namna mnavyompamba bado hajafikia hiyo level yakuitwa the talk of the Town Kama kolo mwenzio OKW BOBAN SUNZU anavyomtukuza .
 
So tutumie nn kumpima. Kwasababu ndiyo Kazi aliyomtuma kocha.

Na asingefunga mngekuwa mnakunya Nini humu!

Hao Ihefu wewe ulie bora uliwafunga goli ngapi?

Juzi mlisema Simba kanunua mechi, hoja imekufa leo Ihefu imegeuka kuwa dhaifu
Sasa kwa mpira alioucheza ihefu ni Mpira wakumpo ngeza ihefu kweli au na wewe unaropoka tu.
 
Sawa mbumbuu fc
Kwa namna mnavyomuimba huyo mchezaji wenu nakumpaka mafuta kwa mgongo wa chupa wakati bado hajadhihirisha.
 
Sawa saa kumi tunarudia tena kama juz baleke anafunga tena 3
 
Update takwimu zako tena...JINI Baleke limetupiamo mbili
 
Tafuta mume uolewe nyege mbaya sana
 
Hizi timu unazoziita dhaifu (mtibwa na Ihefu) hata manywele alicheza nazo lakini hatukuona alichokifanya . Mbaya zaidi hii Ihefu unayoiita dhaifu ndiyo iliyowatoa bikra .

Basi tuseme hata manywele ni galasa anafunga timu dhaifu kwasababu timu alizozifunga ndizo hizihizi za ligi kuu ya NBC anazozifunga Jean Baleke a.k.a JINI BALEKE
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…