Mechi ya Yanga dhidi ya Simba, June 25 kuchezeshwa na Waamuzi kutoka Misri

Hii ni aibu kwa taifa, Mechi ya ndani kuchezeshwa na marefa wa nje, inapeleka ujumbe gani kwa marefa wa Kitanzania?
 
Hii ni aibu kwa taifa, Mechi ya ndani kuchezeshwa na marefa wa nje, inapeleka ujumbe gani kwa marefa wa Kitanzania?
Kwa pressure iliyopo hamna namna, kuepusha mlolongo mbeleni inabidi , timu zote zina mvutano mkubwa mno

Kupata marefu neutral ambao hawana mfungamano ni moja ya suluhisho. Ikiwezekana mechi ichezewe hata nchi nyingine kabisa
 
Waamuzi wetu wameonekana ni wala rushwa sana ndo maana wakachukuliwa waamuzi kutoka Egypt
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…