Mei Mosi: Dkt. Mpango asema Serikali imepokea hoja ya kuboresha kikokotoo kwakuwa wafanyakazi hawaridhishwi na kanuni zake

Mbona hayupo Jukwaa kuu?
 
Hiyo UWT si ni sisiemu? Na wenyewe wanataka nyongeza?
  • Wameshakuwa wahaini?
  • Kwani haupigi mwingi?
  • Wametumwa kueneza UBAGUZI nini?

Sidhani kama kuna mwanachama wa kijani asiyeridhishwa na hali ilivyo sasa...hatutaki nyongeza wala chochote kile, dereva anachochora vyema, 120kph cruise control on, GPS yetu ni very akyureti kwa jinsi nchi ilivyosukwa na dereva, yuko zake kwenye cabin huko anasikiliza mipasho!

Referrence: Tuko kwenye raiti traki
 
Eti kuna kundi la vijana wenye kazi na vipaji mbalimbali limeanzishwa kuilinda Arusha linaitwa WADUDU, mfadhili wao ni mkuu wa mkoa huo Makonda. Hilo kundi lisije likahusika kuleta vurugu wakati wa uchaguzi wa mitaa na ule mkuu. Hilo kundi ni la kisiasa pasina shaka
 
Huyu Askofu anachekesha sana, etu tupate mvua za kawaida inamaa hajui kwamba mvua ndio inapotea.
hawa maaskofu wanaopata nafasi ya kuomba dua kwenye matukio ya kitaifa huwa wanaomba maombi wasiyoyaamini, wanachanganya maneno tata sana japo hayo maombi wanayasoma kwenye karatasi
 
Arusha, Maeneo ya USA River umeme mdogo. Nashindwa kuwasha TV kufuatilia yanayojiri huko Sheikh Amri Abeid πŸ€”
 
Arusha, Maeneo ya USA River umeme mdogo. Nashindwa kuwasha TV kufuatilia yanayojiri huko Sheikh Amri Abeid πŸ€”
Bora hata usiangalie. Kuna Utopolo mkubwa unaendelea hapo Arusha kwenye maadhimisho. Kama vipi bora umfatilie Zakayo wa Kenya.
 
Hela ya kikotoo inatokana na p. a. y. e. Ambayo ni makato ya mfanyakazi na muajiri. Kwanini serikali isitoe hela yote kwa wastaafu? πŸ€”
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…