Mei Mosi: Dkt. Mpango asema Serikali imepokea hoja ya kuboresha kikokotoo kwakuwa wafanyakazi hawaridhishwi na kanuni zake

Mei Mosi: Dkt. Mpango asema Serikali imepokea hoja ya kuboresha kikokotoo kwakuwa wafanyakazi hawaridhishwi na kanuni zake

CHATANDA AWASILI JIJINI ARUSHA KUSHIRIKI SHEREHE YA MEI MOSI

[emoji625] Arusha
[emoji413] 30/4/2024

Mwenyekiti wa Umoja wa Wanawake Tanzania UWT Ndg. Mary Pius Chatanda (MCC) Amewasili Jijini Arusha Usiku wa Aprili, 30, 2024 kuhudhuria maadhimisho ya siku ya Wafanyakazi Duniani yanayotarajia kufanyika Jumatano ya Mei Mosi, 2024 kwenye Viwanja vya Michezo vya Sheikh Amri Abeid.

CHATANDA amepokelewa kwenye uwanja wa ndege wa Kilimanjaro KIA na Mkuu wa Mkoa wa Kilimanjaro Mhe. Nurdine Babu Pamoja na Viongozi wa UWT Mkoa wa Arusha na Viongozi wa Chama Wilaya na Serikali.

Mgeni Rasmi wa Sherehe ya Mei Mosi anatarajia kuwa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan.
Mbona hayupo Jukwaa kuu?
 
Hiyo UWT si ni sisiemu? Na wenyewe wanataka nyongeza?
  • Wameshakuwa wahaini?
  • Kwani haupigi mwingi?
  • Wametumwa kueneza UBAGUZI nini?

Sidhani kama kuna mwanachama wa kijani asiyeridhishwa na hali ilivyo sasa...hatutaki nyongeza wala chochote kile, dereva anachochora vyema, 120kph cruise control on, GPS yetu ni very akyureti kwa jinsi nchi ilivyosukwa na dereva, yuko zake kwenye cabin huko anasikiliza mipasho!

Referrence: Tuko kwenye raiti traki
 
Eti kuna kundi la vijana wenye kazi na vipaji mbalimbali limeanzishwa kuilinda Arusha linaitwa WADUDU, mfadhili wao ni mkuu wa mkoa huo Makonda. Hilo kundi lisije likahusika kuleta vurugu wakati wa uchaguzi wa mitaa na ule mkuu. Hilo kundi ni la kisiasa pasina shaka
 
Huyu Askofu anachekesha sana, etu tupate mvua za kawaida inamaa hajui kwamba mvua ndio inapotea.
hawa maaskofu wanaopata nafasi ya kuomba dua kwenye matukio ya kitaifa huwa wanaomba maombi wasiyoyaamini, wanachanganya maneno tata sana japo hayo maombi wanayasoma kwenye karatasi
 
Arusha, Maeneo ya USA River umeme mdogo. Nashindwa kuwasha TV kufuatilia yanayojiri huko Sheikh Amri Abeid 🤔
 
Hela ya kikotoo inatokana na p. a. y. e. Ambayo ni makato ya mfanyakazi na muajiri. Kwanini serikali isitoe hela yote kwa wastaafu? 🤔
 
Back
Top Bottom