Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mbona hayupo Jukwaa kuu?CHATANDA AWASILI JIJINI ARUSHA KUSHIRIKI SHEREHE YA MEI MOSI
[emoji625] Arusha
[emoji413] 30/4/2024
Mwenyekiti wa Umoja wa Wanawake Tanzania UWT Ndg. Mary Pius Chatanda (MCC) Amewasili Jijini Arusha Usiku wa Aprili, 30, 2024 kuhudhuria maadhimisho ya siku ya Wafanyakazi Duniani yanayotarajia kufanyika Jumatano ya Mei Mosi, 2024 kwenye Viwanja vya Michezo vya Sheikh Amri Abeid.
CHATANDA amepokelewa kwenye uwanja wa ndege wa Kilimanjaro KIA na Mkuu wa Mkoa wa Kilimanjaro Mhe. Nurdine Babu Pamoja na Viongozi wa UWT Mkoa wa Arusha na Viongozi wa Chama Wilaya na Serikali.
Mgeni Rasmi wa Sherehe ya Mei Mosi anatarajia kuwa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan.
hawa maaskofu wanaopata nafasi ya kuomba dua kwenye matukio ya kitaifa huwa wanaomba maombi wasiyoyaamini, wanachanganya maneno tata sana japo hayo maombi wanayasoma kwenye karatasiHuyu Askofu anachekesha sana, etu tupate mvua za kawaida inamaa hajui kwamba mvua ndio inapotea.
Ni kitu ambacho kimenishangaza sana LeoSiku ya Wafanyakazi imekuwa siku ya CCM
Mambo ya ajabu kabisaNi kitu ambacho kimenishangaza sana Leo
🤣🤣🤣Mbona Wanarefusha Shughuli au Mama Samia Hapatikani kwenye Simu ili atoe Maagizo
Mama kamwachia zigo la kudanganya Makamu wake leo. Yeye anachungulia luningani, kwa aibu, kama sisi wengine.Mbona Wanarefusha Shughuli au Mama Samia Hapatikani kwenye Simu ili atoe Maagizo
Wapigie TanescoArusha, Maeneo ya USA River umeme mdogo. Nashindwa kuwasha TV kufuatilia yanayojiri huko Sheikh Amri Abeid 🤔
Bora hata usiangalie. Kuna Utopolo mkubwa unaendelea hapo Arusha kwenye maadhimisho. Kama vipi bora umfatilie Zakayo wa Kenya.Arusha, Maeneo ya USA River umeme mdogo. Nashindwa kuwasha TV kufuatilia yanayojiri huko Sheikh Amri Abeid 🤔
Mama anaogopa kuongeza dhambi za kujitakia, ameona acha wasaidiane dhambi na Makamu wake!Mama kamwachia zigo la kudanganya Makamu wake leo. Yeye anachungulia luningani, kwa aibu, kama sisi wengine.
Tupia namba zaoWapigie Tanesco
🤪😆🤣🤣Mama anaogopa kuongeza dhambi za kujitakia, ameona acha wasaidiane dhambi na Makamu wake!