Meli 13 zinahudumiwa muda huu bandari ya DSM Januari 28/2024

Ubajiona unaelewa sana. Mbwa wewe, umetumwa kutupumbaza siyo. Kainame uendelee kupumliwa. Mnauza nchi sisi tunateseka na mzigo wa tozo bila huruma, uje useme sijui TRA wanakusanya kodi bandarini. Tozo mnakusanya za nini basi halafu kubwa kishenzi.

Sent from my Infinix X688B using JamiiForums mobile app
 
Hili povu sio bure aisee
 
Ni kitu kizuri uchumi umefunguka ukiona bandari imejaa jua mapato yataongezeka na mapato yakiongezeka ndio uchumi wenyewe utafunguka ajira zitaongezeka zaidi parttime na full time dockwrker nyie mnaita makuli nao watapata kazi zakutoa mzigo
Akili kubwa hii
 
DP world wamepangishwa gati Na. 04 mpaka 07 kati ya magati 12 ya bandari ya Dar es salaam. Kwahiyo na 40% ya makusanyo ya TRA kutokana na ushuru bandari ya Dar es salaam unawafaidisha DP World??? Akili yako itakuwa imebakwa. DP World itatuongezea ufanisi, hivyo makusanyo ya TRA yataongezeka nchi itafaidika.
 
DP World itatuongezea ufanisi, hivyo makusanyo ya TRA yataongezeka nchi itafaidika.
Ndivyo unavyoaminishwa na unaamini?

Tumeambiwa mangapi nchi hii na yanageuka kuwa ubatili?

Anyway, nafahamu wewe ni chawa uko kazini.
 
Ungeonyesha real time video ili kuendana na mada yako ingekuwa vizuri
 
Mama Samia Rais wangu kipenzi waongezee gati bandari ya Dar pato la taifa litaongezeka maradufu. Bandari ni mgodi. Hongereni TPA, kazi iendelee
 


Uwekezaji ni kiasi gani? Wacha ujinga wako wa kiswahili swahili
 
Kazi nzuri bandari ya Dar es salaam
 
DP world at work! Hapo wanaofaidika ni waarabu, kwann unaleta taarifa hii kwa watanzania? Watumie waarabu wafurahie?1
Mpka muda huu DP WORD hawajaanza kazi ndugu,na DP WORD kapewa gati 4 tuu
 
Duniani kote nchi hujisifu kwa Idadi ya Meli zinazo tia Nanga kupakia mzigo sisi tunajisifu kwa meli zinazo tuletea mizigo ya kuchuuza? Waafrica ni nyani tu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…