Xi Jinping
JF-Expert Member
- Jun 14, 2023
- 3,651
- 11,548
Hili ni onyo kwa Australia ambayo ni "the U.S vassal state" kibaraka wa Marekani.
Kwa nini China ipeleke meli zake 3 za kivita pwani ya Australia na kufanya mazoezi hayo kati kati ya Australia na New Zealand kwenye bahari ya Tasmania?

Chinese exercises 150km from Sydney
Ikumbukwe kuwa Australia ndiyo ilitangulia kupeleka spy plane karibu na visiwa vya China katika Bahari ya Kusini ya China kulingana na maagizo ya Marekani.
Aussies dont dare to play with South China Sea anytime
Wakati wa mazoezi hayo ya jeshi la Navy la China, ndege zinazosafiri kati ya Australia na New Zealand zimelazimika kufuta safari au ku-divert route kwa sababu za kiusalama.
Siku ya Alhamisi, idara ya ulinzi ya Australia ilisema meli za China zilionekana maili 150 (kilomita 276) kutoka Sydney, ndani ya eneo la kipekee la kiuchumi la Australia. Leo Ijumaa zimeanza kufanya "live drill fire."
Maofisa wa Australia wameanza kuwatafuta wenzao wa China ili kuwe na mazungumzo kuhusu hilo.
Australia imeuliza China kwa nini inafanya mazoezi ya moto kati ya Australia na New Zealand, na kwa nini ilani zaidi haikutolewa ili kuepusha usumbufu kwa ndege za kibiashara.
Msemaji wa Wizara ya Mambo ya Nje ya China Guo Jiakun amesema kuwa Kamandi ya Kusini ya jeshi la Navy la China ilipanga kundi la meli hizo kufanya mazoezi na mafunzo ya mbali ya baharini.

"Mazoezi haya daima yamekuwa yakifanywa kwa usalama, kwa njia iliyosawazishwa na kitaaluma, na kwa mujibu wa sheria ya kimataifa."
– Guo Jiakun
– Guo Jiakun
Haijafahamika iwapo mazoezi hayo yamekamilika au bado. Mpaka sasa Jeshi la China halijasema chochote kuhusu hilo.
Haya mataifa ambayo ni vibaraka wa Marekani wajifunze yaliyowakuta Ukraine. Ngoja tuone baada ya hili onyo kama watarudia kupeleka spy planes kwenye eneo la South China Sea.