Meli vita za China zinafanya mazoezi halisi ya moto katika pwani ya Australia. Serikali ya Australia ijifunze yaliyoikuta Ukraine

Xi Jinping

JF-Expert Member
Joined
Jun 14, 2023
Posts
3,651
Reaction score
11,548
Hili ni onyo kwa Australia ambayo ni "the U.S vassal state" kibaraka wa Marekani.

Kwa nini China ipeleke meli zake 3 za kivita pwani ya Australia na kufanya mazoezi hayo kati kati ya Australia na New Zealand kwenye bahari ya Tasmania?

20250221_172820.png

Chinese exercises 150km from Sydney

Ikumbukwe kuwa Australia ndiyo ilitangulia kupeleka spy plane karibu na visiwa vya China katika Bahari ya Kusini ya China kulingana na maagizo ya Marekani.

20250221_180257.jpg

Aussies dont dare to play with South China Sea anytime

Wakati wa mazoezi hayo ya jeshi la Navy la China, ndege zinazosafiri kati ya Australia na New Zealand zimelazimika kufuta safari au ku-divert route kwa sababu za kiusalama.

Siku ya Alhamisi, idara ya ulinzi ya Australia ilisema meli za China zilionekana maili 150 (kilomita 276) kutoka Sydney, ndani ya eneo la kipekee la kiuchumi la Australia. Leo Ijumaa zimeanza kufanya "live drill fire."

Maofisa wa Australia wameanza kuwatafuta wenzao wa China ili kuwe na mazungumzo kuhusu hilo.

Australia imeuliza China kwa nini inafanya mazoezi ya moto kati ya Australia na New Zealand, na kwa nini ilani zaidi haikutolewa ili kuepusha usumbufu kwa ndege za kibiashara.

Msemaji wa Wizara ya Mambo ya Nje ya China Guo Jiakun amesema kuwa Kamandi ya Kusini ya jeshi la Navy la China ilipanga kundi la meli hizo kufanya mazoezi na mafunzo ya mbali ya baharini.

"Mazoezi haya daima yamekuwa yakifanywa kwa usalama, kwa njia iliyosawazishwa na kitaaluma, na kwa mujibu wa sheria ya kimataifa."
– Guo Jiakun
Haijafahamika iwapo mazoezi hayo yamekamilika au bado. Mpaka sasa Jeshi la China halijasema chochote kuhusu hilo.

Haya mataifa ambayo ni vibaraka wa Marekani wajifunze yaliyowakuta Ukraine. Ngoja tuone baada ya hili onyo kama watarudia kupeleka spy planes kwenye eneo la South China Sea.
 
Hili ni onyo kwa Australia ambayo ni "the U.S vassal state" kibaraka wa Marekani.

Kwa nini China ipeleke meli zake 3 za kivita pwani ya Australia na kufanya mazoezi hayo kati kati ya Australia na New Zealand kwenye bahari ya Tasmania?

View attachment 3244285
Chinese exercises 150km from Sydney

Ikumbukwe kuwa Australia ndiyo ilitangulia kupeleka spy plane karibu na visiwa vya China katika Bahari ya Kusini ya China kulingana na maagizo ya Marekani.

View attachment 3244316

Aussie dont dare to play with South China Sea anytime

Wakati wa mazoezi hayo ya jeshi la Navy la China, ndege zinazosafiri kati ya Australia na New Zealand zimelazimika kufuta safari au ku-divert route kwa sababu za kiusalama.

Siku ya Alhamisi, idara ya ulinzi ya Australia ilisema meli za China zilionekana maili 150 (kilomita 276) kutoka Sydney, ndani ya eneo la kipekee la kiuchumi la Australia. Leo Ijumaa zimeanza kufanya "live drill fire."

Maofisa wa Australia wameanza kuwatafuta wenzao wa China ili kuwe na mzungumzo kuhusu hilo.

Ukraine ilipeleka nini Rusia?
 
Wamelikanyaga. USA ni adui anayekujia kwa sura ya urafiki
 
Australia wana mambo ya ajabu sana, China ni trade partner wao mkubwa, 30% ya total exports yao inaenda China

Halafu wanakubali kushawishiwa na Marekani kwenda kuspy China

Wako kwenye risk ya kupoteza soko linalochukua 30% ya exports yao
 
Marekani anapenda sana kuwapotosha vibaraka wake wa Indo-Pacific na the Far East Asia waichokoze China

Huwa anawaaminisha kuwa China ni adui yao. Na kwa sababu China inazidi kuimarisha jeshi lake na kulifanya modern anawaambia China inajipanga kufanya expansionism kwenye ukanda wa Indo-Pacific

Anamuahidi kibaraka wake kumpa ulinzi, anafungua military base na kupeleka American troops

Kisha anaanza kumuuzia silaha huku akimdanganya kibaraka wake kuwa atamlinda dhidi ya China

Hayo ndiyo mambo Marekani anayofanya kwa it's vassal states kama Philippines, Japan, South Korea, Taiwan na Australia.

Anawauzia sana silaha kijanja akiwaaminisha kuwa China ni taifa hatari wanataka kuitawala Far East na Indo-Pacific

Anawaingiza katika security partnership and agreement mfano AUKUS (Aus, UK, US)

Kuna The Mutual Defense Treaty kati ya Marekani na Philippines

Sasa hivi wapo kwenye mchakato wa trilateral agreement na Japan & South Korea

Ila siku taifa lolote kati ya hayo likijichanganya kuingia vitani na China ndipo watakaposhangaa Marekani ikiwa haina msaada wowote kwao

Ukiingia kwenye vita akaona unaelekea kushindwa Marekani anakukimbia kama alivyofanya kwa Ukraine
 
Marekani anapenda sana kuwapotosha vibaraka wake wa Indo-Pacific na the Far East Asia waichokoze China

Huwa anawaaminisha kuwa China ni adui yao. Na kkwa sababj China inazidi kuimarisja jeshi lake anawaambia China inajipanga kufanya expansionism kwenye ukanda wa Indo-Pacific

Anamuahidi kibaraka wake kumpa ulinzi, anafungua military base na kupeleka American troops

Kisha anaanza kumuuzia silaha huku akimdanganya kibaraka wake kuwa atamlinda dhidi ya China

Hayo ndiyo mambo Marekani anayofanya kwa its vassal states kama Philippines, Japan, South Korea, Taiwan na Australia.

Anawauzia sana silaha kijanja akiwaaminisha kuwa China ni taifa hatari wanataka kuitawala Far East na Indo-Pacific

Anawaingiza katika security partnership and agreement mfano AUKUS (Aus, US, U.K)

Kuna The Mutual Defense Treaty kati ya Maekani na Philippines

Sasa hivi wapo kwenye mchakato wa trilateral agreement na Japan & South Korea

Ila siku taifa lolote kati ya hayo likijichanganya kuingia vitani na China ndipo watakaposhangaa Marekani ikiwa haina msaada wowote kwao

Ukiingia kwenye vita akaona unaelekea kushindwa Marekani anakukimbia kama alivyofanya kwa Ukraine
Intelligence ya Australia na Philippines na Taiwan hawajui haya yote( motive) ya USA ila wew umejua kutokea huko Nzega aliko dharauliwa mkuu wa mkoa wako jana?
 
Australia wana mambo ya ajabu sana, China ni trade partner wao mkubwa, 30% ya total exports yao inaenda China

Halafu wanakubali kushawishiwa na Marekani kwenda kuspy China

Wako kwenye risk ya kupoteza soko linalochukua 30% ya exports yao
Kisa kupitia AUKUS agreement Marekani imeiahidi Australia nuclear powered submarines 5 kufikia 2054 🤣🤣🤣
 
Intelligence ya Australia na Philippines na Taiwan hawajui haya yote( motive) ya USA ila wew umejua kutokea huko Nzega aliko dharauliwa mkuu wa mkoa wako jana?
Wameamua kuwa the U.S vassal states kwa hiyo domestic na foreign policies zao zinategemea policies za Marekani.

Hizi mambo zimekaa ki-geopolitics na geoeconomics kama sio mfuatiliaji unaweza usielewe

Ipo hivi ili uelewe kirahisi kuna pande mbili hasimu za the most powerful states (China vs U.S)

Kwa hiyo mataifa mengine yanaamua yawe upande upi kati ya wakubwa hao wawili

Australia, Philippines, Japan, S.K wameamua kuwa upande wa Marekani kwa hiyo wanafuata kile boss wao anasema
 
Unashaulije? Wawe upande gani?
 
I
Ukraine ilikuwa inaelekea kuvunja makubaliano na Russia
Ilikuwa inaelekea inamaana bado haikuvunja, pia inawezekana ingeishaia njiani bila kufikia kuuvunja hayo makubaliano.
 
Wasiwasi ndio akili, si umeona jinsi imekuwa faida kwa Russia so far
 
Unashaulije? Wawe upande gani?
Japan, South Korea, Philippines wangechagua upande wa China.

Haya mataifa ya Asia kama China, S.K, Japan, N.K, India n.k halafu imagine na Russia nayo iwe upande wao

Yangekuwa kitu kimoja Marekani hasingekuwa na influence eneo la Indo-Pacific na kungekuwa na balance of power kwenye huo ukanda.

Kukiwa na balance of power inachangia sana amani na utulivu duniani

Na Marekani anajua kuwa hayo mataifa kiuchumi, kiteknolojia, kijeshi yakiungana ushawishi wake upande wa Indo-Pacific lazima upotee

Ndio maana anafanya juu chini kupandikiza uadui hasa kati ya mataifa hayo na China na anataka kuyatumia to containing China's influence in Indo-Pacific region
 
Japan, South Korea, Philippines wangechagua upande wa China.

Haya mataifa ya Asia kama China, S.K, Japan, N.K, India n.k yangekuwa kitu kimoja Marekani hasingekuwa na influence eneo la Indo-Pacific na kungekuwa na balance of power kwenye huo ukanda

Kukiwa na balance of power inachangia sana amani na utulivu duniani

Na Marekani anajua kuwa hayo mataifa kiuchumi, kiteknolojia, kijeshi yakiungana ushawishi wake upande wa Indo-Pacific lazima upotee

Ndio maana anafanya juu chini kupandikiza uadui hasa kati ya mataifa hayo na China na anataka kuyatumia to containing China's influence in Indo-Pacific region
Daah! Una kitu usipuuzwe
 
Back
Top Bottom