Frank Wanjiru
JF-Expert Member
- Apr 12, 2012
- 22,719
- 40,739
Huyu ni chawa wa Putin anakiri kuwa mambo yameenda mrama,halafu wewe upo huko kisemvule unapingaDownload habari saa 7 mchana Ujerumani, Putin anasema mataifa ya ULAYA na US wanacherewesha operation yake, malengo yapo palepale na wanachokifanya ni Vita ya Dunia ya Njaa .
MADHARA :
UK Chama tawala kimeshindwa vibaya ktk Serikari za Mitaa na Majimbo ni sababu ya mfumuko wa bei iliyokithiri.
USA, USHAWISHI WA RAIS WAO umeporomoka baada ya Wananchi wake kulishwa propaganda bila uhalisia ktk uwanja wa Vita.
Si mlisema hakuna ndege ya Ukraine inayoruka, Halafu siku hizi imekuwa habari kubwa Russia kuangusha ndege ya Ukraine?Oyaaaa [emoji23][emoji23]
[emoji91][emoji91][emoji91]the russian Ministry of defense announced that a su-25 and a mig-29 of the ukrainian Air Force Were Shot down in the luhansk region [emoji91][emoji91][emoji91]
Washapaniki hao,wanakula matapishi yaoMmeanza kujikanganya, si mlisema Ukraine haina tena jeshi la anga??
Chanzo ni ukraine tu, "hakijajulikana" vipi sasa?Meli ya Urusi maarufu Kama Admiral Grigorovich ya Wanamaji inaungua karibu na kisiwa cha Zmiiny katika Black sea , ndege za uokoaji za Urusi zinaendelea na juhudi za kuzima moto
View attachment 2213776
The Admiral Grigorovich class, ambayo pia ujulikana Kama Krivak IV class, Russian designation Project 11356R/М, ilijengwa na the Yantar Shipyard huko Kaliningrad Kwa ajili ya shughuli za kivita za Urusi majini ( the Russian Navy and Indian Navy), Kwa gharama ya 450-500 mill$. Kwa viwango Talwar class ipo inaungua sasa
View attachment 2213778
Chanzo cha mlipuko bado hakijajulikana
Habari inawakera warusi wa Kibaigwa ila hatuna jinsi
Britanicca
Teh teh teh leo mnategemea uthibitisho wa habari ya kweli kutoka BBC na CNN?Aisee hii ni fake news yaani Mpaka SASA hivi BBC na Dada zake hawajatangaza?aisee nyie Team NATO muwe na akili basi msituletee habari fake.
Putin anaweza kushinda hii "special operation" lakini "count down " ya utawala wake imeshaanza.. Nadhani hii sawa na Stalin..Nimevumilia kutoonesha kama nakerwa ila kuna hujuma ndani ya Jeshi la Urusi nahisi
Shangaa na ww babuKinachonishangaza kwenye hii vita
Anaepiga ndio analia zaid ya anaepigwa
Ngoja tuendelee kushuhudia mechi hii.
Wewe mwenzetu unatumia kiungo gani kufikiri? Mbona nilidhani wote tunatumia ubongo?Israel inaweza kuipiga dunia nzima, kwa wakati mmoja, sasa wakienda Ukraine, Russia itapigwa siku 3 tu.
Hio video labda aweke ya kwa mpalange hawa nato wa buza bwana[emoji3][emoji3]Weka picha au video au unaleta fake newz.
Mnabrashiwa nyinyisw bn wazee wa kutoa kiulaini
Hahahahaha warusi wa wapiiii????Ninakazia: Habari inawakera warusi wa Kibaigwa ila hatuna jinsi
Hahahahaha warusi wa wapiiii????
Habari yako dada yangu Ukionekanaga hewan mi faraja tupu!!!!!!! Ni hao hao UKRAINE ila hawataki kusemaChanzo ni ukraine tu, "hakijajulikana" vipi sasa?
hahahaaaaNgoja tuweke nafasi hapa tutakuja kuwakumbusha warusi wa kazuramimba baada ya habari kuwa confirmed.
Dunia ina vituko vingi sana.Shangaa na ww babu
Hawana silahaHii vita mbona ni kama operesheni ya Russia kudecommision baadhi ya silaha zake ambazo zimepitwa na wakati?
Na zile zinazoharibiwa na majeshi ya Ukraine zinatoka wapia, na za nani?Hawana silaha