Meli ya Vitabu Bandari ya Dar es Salaam "Mv Logos Hope" yaingia tena baada ya miaka 7

Kwa namna hiyo meli inavyo zunguka nchi nyingi duniani ni nafasi nzuri kwa sekta ya utalii nchini kufanya jambo kuhakikisha kila sehemu hiyo meli inako tia nanga wanajua kuhusu utalii wa Tanzania
 
Kwa namna hiyo meli inavyo zunguka nchi nyingi duniani ni nafasi nzuri kwa sekta ya utalii nchini kufanya jambo kuhakikisha kila sehemu hiyo meli inako nanga wanajua kuhusu utalii wa Tanzania
Sekta ya utalii Tanzania tumepata bahati ya meli hii lakini nafasi hatutumii vizuri.

Mwezi wa 8 meli hii ilikuwa Kenya ilitangazwa na wizara yao ya utalii na vyombo vya habari vya kule.

Sisi Wizara ya Maliasili na Utalii, bodi ya Utalii hata hawajatangaza, wanashindwa kuweka hata mabango yao kuonyesha vivutio kwa wafanyakazi wa meli wapatao 400 hata bango la Karibu Tanzania
 
Vyombo vya habari havijatoa nafasi ya kutangaza sana ujio wa meli hii. Wamezoea kutangaza meli zile kubwa mfano meli ndefu au meli zenye gari nyingi ziingiapo Nchini.
 
Mwaka 2016 kulikuwa na Utaratibu wa gari za kupeleka na kurudisha watu, kutoka geti la kuingia mpaka melini. Mwaka huu hakuna Utaratibu huo. Inalazimu baada ya kukata ticket utembee kutoka gate no.2 mpaka melini.

Meli bado ina siku 14 mbele, Bandari na agent wana nafasi ya kuboresha na kufanya vizuri kwa kupata idadi kubwa ya watu watakao tembelea
 
Iliwahi kuja enzi za magu?
 
Nipo hapa melini kweli watanzania tumelala kila Sekta, wanakuja watu wa nchi mbalimbali, kutoka ubalozini na watanzania wengine wanakosa Cash kulipa vitu.

Vodacom ndio wapo nao wameweka huduma ya kulipa. Kuna watu wanataka Cash wanakosa mpaka watoke nje. Meli wana kubali Credit Card. Hakuna taasisi ya kifedha ilikuja kuweka hata tent kutoa huduma na meli itakuwa nchini week 2.
 
Bongo tupo nyuma saana kaka.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…