Meli ya Vitabu Bandari ya Dar es Salaam "Mv Logos Hope" yaingia tena baada ya miaka 7

Meli ya Vitabu Bandari ya Dar es Salaam "Mv Logos Hope" yaingia tena baada ya miaka 7

Nataka nikumbukie enzi zangu ndugu yangu 🤣 nishamisi madude magumu magumu kichwani mwangu.
Njoo ukumbushie hata hii engine ya Generator hujisikie upo workshop
20231007_164005.jpg
20231007_164031.jpg
20231007_164031.jpg
 
Kwa kiingilio cha buku, ngoja nibebe familia.
Kaka ni buku kweli au 0 moja haijawekwa, nisije nikabeba watu kumi na kielfu 10 changu, kumbe ni laki.🤣

Hapo elfu 10, wakisoma soma vitabu, wakila na ice cream, nao watajihisi wana baba.🤣
Ni elfu 1 kaka, vitabu vipo vya kila aina, sehemu za kupiga picha za mandhari tofauti. Ice cream kuanzia elfu 1.

Walete watoto wacheze na wenzao wakina Patel na Charan maana leo ndio wamejaa
 
Hii ni fursa kwa sekta ya utalii,elimu na wadau mbalimbali kwenda kutembelea na kujifunza kiingilio ni Shilingi 1000 ya Kitanzania.Tiketi za kuingilia melini zinapatikana geti namba 2 la Bandari ya Dar es Saalam njia ya Kituo kikuu cha Central Police au Stesheni kwa wageni.
Mamlaka gani inaratibu shughuli zake iwapo nchini.
 
Back
Top Bottom