Meli ya Vitabu Bandari ya Dar es Salaam "Mv Logos Hope" yaingia tena baada ya miaka 7

Kwa kiingilio cha buku, ngoja nibebe familia.
Kaka ni buku kweli au 0 moja haijawekwa, nisije nikabeba watu kumi na kielfu 10 changu, kumbe ni laki.🤣

Hapo elfu 10, wakisoma soma vitabu, wakila na ice cream, nao watajihisi wana baba.🤣
Ni elfu 1 kaka, vitabu vipo vya kila aina, sehemu za kupiga picha za mandhari tofauti. Ice cream kuanzia elfu 1.

Walete watoto wacheze na wenzao wakina Patel na Charan maana leo ndio wamejaa
 
Mamlaka gani inaratibu shughuli zake iwapo nchini.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…