Meli ya Vitabu Bandari ya Dar es Salaam "Mv Logos Hope" yaingia tena baada ya miaka 7

Kwanini wasiviupload kwenye mtandao halafu waipaki kwao tu
Nafikiri ishaelezwa kuwa suala siyo kuuza Vitabu tu, bali pia wanaitumia hiyo fursa kuchangisha fedha kwa ajili ya wahitaji.

Lakini pia, wengine wanaweza wasiwe na uhitaji wa vitabu, lakini wakahitaji kwenda kuiona meli ilivyo. Kwa wengine, kuitembelea hiyo meli ni utalii.
 
Mwisho tarehe gani mkuu
 
Asante kwa kutuhabarisha mkuu, nimeburudika sana japo sikununua ila nilipiga picha na kusoma sambamba na kugundua variety za vitabu ambazo nilikua sizifahamu, i hope next time ikija tena nitaweza ku afford bei za vitabu nilivyovipenda.
Jambo jema kama ulifika na kutalii, natumaini ulijifunza vingi na kufurahia
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…