Meli za kivita za Urusi zapokea kipigo cha drones kule Black sea


Tukija case ya Saudia nina hakika defense systems zilikua overwhelmed na mshambuliaji maana zilitumwa cruise missiles za kutosha pamoja na drones.

Tukija kwenye suala la defense systems mbona hizi za Russia mlizokua mnazisifia kila siku humu hakuna chochote zinachofanya,Jana Sevastopol imepigwa na drone 9 tu wanasema wamezitungua zote lakini cha ajabu hapohapo wanasema kuna baadhi ya Meli zimeharibiwa. Sasa zimeharibiwaje wakati drones zote walitungua. Himars kila siku zinapiga supply lines za Russia,juzi walibutua pontoon bridge Kherson,Jana wamepiga tena Antonovsky bridge hukohuko Kherson...sasa sijui zile S-3000 na S-5000 mlizokua mnazitukuza humu ndani ziko wapi?!

Mwisho: Hakuna defense systems ambayo ipo effective 100%.
 

"Superficial damages" [emoji23]

Hata Moskva ilipobutuliwa kwa Neptune za Ukraine na baadae kuzama Mwanzoni Urusi ilipinga kwamba hakuna tukio kama hilo.

Kambi Yao ya jeshi kule Crimea ilivyobutuliwa miezi iliyopita Urusi ilisema kila kitu kiko Sawa,mkaja kushangilia humu baadae satellites images zikaja kuwaumbua baada ya kuonyesha uharibifu mkubwa uliotokea maana ammo depots ilikua imeharibiwa kabisa,Urusi ilikua imepoteza ndege Tisa pamoja na uharibifu kidogo kwenye run ways.
Hivyo sitoshangaa hata hiyo superficial waliyoisema baadae wakaja kuumbuka maana Urusi ni Muongo Sana.
 
๐Ÿ‡ท๐Ÿ‡บ๐Ÿ‡บ๐Ÿ‡ฆ After the terrorist attack on the Crimean bridge, Ukraine lost more than a third of its distribution and generating capacities.

After the drone attack on Sevastopol, Russia has every opportunity to completely close the export of any product from Ukraine by sea.

Retribution should be as heavy and painful as possible.
 
marekani iliweka mifumo ya ulinzi wa iran ilitanguliza kombora moja kwanza ili kupiga jamming ndo maana hata satelite hazikuona kitu mfumo wa kutoa onyo la mapema nao haukuona kitu

jaman tukubarini tu iran ni level nyingine

Hata kama hamuwapendi
 
Ingelkua headlines BBC,CNN,VOA nk
 
Marekani anao uwezo wa kuivamia Iran ila hana sababu. Msilazimishe kumpangia matumizi ya jeshi lake, akivamia mnalalamika asipovamia mnasema hana nguvu. Jeshi halipo kuvamia popote mashabiki wa kigeni mnapojisikia. Iran hii iliyopigana na Iraq kwa miaka 8 wakatoka suluhu ndio iishinde Marekani?

Israel uwezo wa kuipiga Iran inao ila niambie ni lini ulipata kuona Israel inakuwa aggressor inaanzisha vita? Vita zote ambazo iliwahi piga huwa inashambuliwa kwanza kisha inatoa response. Kabla Iran haijawa na nguvu hivi, ilikuwepo Egypt ikiwa the most powerful in Middle East ikaungana na Syria na Waarabu wengine wakisaidiwa na USSR wakapigwa na Israel vita mbili. Ukitaka Iran na Israel zipigane, iombe Iran ivamie ndio utajua maana ya Israel kwenye vita ni nini.

Israel haiwezi anzisha vita duniani kwa vile inaogopa criticism na anti Semitism isishike kasi. Ila ukiwatafuta wanakupiga bila kufuata sijui haki za binadamu kama ambavyo hufanya pale Gaza
 
Ww jamaa siku hizi umekuwa chenga kabisa kichwani.
Ebu niambie rasilimali gani alizo nazo Israel mpaka awe na uwezo wa kuivamia Iran.

Hii Israel ambayo ina wanajeshi wasio fika hata laki moja ndio itaweza kuivamia Iran? kwa hiyo Iran ni ya kuvamiwa kwa jeshi la watu 60,000?

Nimesha kwambia Israel ana uwezo wa kufanya mashambulizi ndani ya Iran lakini hana uwezo hata ile robo wa kukabiliana na Iran kwenye vita vya ardhini.

Mnapenda sana kuikuza Israel kwenye mambo ambayo hayana hata maana, tangu kuzaliwa kwangu nimesha shudia Israel akipigana vita mbali mbali tena dhidi ya wapinzani dhaifu kabisa lakini hakuna maajabu yeyote niliyo yaona kutoka kwake.

Mwaka 2006 tuliishuhudia ikipigana vita vya ardhini na kundi la Hizibllah ni maajabu gani aliyo yafanya zaidi ya kuuwa raia na kuharibu miundo mbinu?

Mwaka 2014 kwenye vita vyake na Hamas kundi lenye wapiganaji wasiozidi 20,000 na ambalo halina silaha nyingine zaidi ya Ak47 na viroketi vya kutengezea kienyeji ambayo kimsingi havina msaada wowote kwenye vita ni maajabu gani aliyo yafanya?

Kiufupi Israel kwenye vita ya ardhini ni ya kawaida sana ,kinacho ibeba Israel ni nguvu zake za kinyukilia na jeshi la anga ambalo kimsingi ukikutana na nchi yenye mifumo mizuri ya anga wenda lisiwe na msaada sana kama tunavyo shuhudia huko kwenye vita vya Urusi na Ukraine.


Unatuletea historia ya miaka 70 iliyo pita?
Kama ni hivyo basi na Iran historia inambeba maana kwenye historia yake amepigana vita nyingi sana lakini hakuna vita ambayo alisha shindwa na maadui zake.
Israel alishinda vita kwa siku 6 tu aya sasa hivi ajaribu kwa misiri tu tuone kama huo ushindi wa siku 6 ataupata tena.

Vita ya Iran na Iraq Iran ilishinda kwa sababu iliwafurusha kwenye ardhi yake wanajeshi wa Iraq walio kuwa wanapokea msaada wa kila sina kutoka Marekani na washirika wake kama wanavyo fanya sasa kwa Ukraine.

Wakati Marekani alishindwa vita na kundi lisilo kuwa na hata na viatu pamoja na kutumia zaidi ya $ trion 4 ambao ni sawa na uchumi wa Ujerumani.

Ukisema Marekani hana sababu ya kuivamia Iran bila shaka ina bidi nikushangae nadhani hata ww mwenyewe unajishangaa kwa kujitoa akili kiasi hicho.
 

Shukrani sana mkuu kwa kujieleza kisomi kabisa, tatatizo hapa ni,je,wangapi watakuelewa - majority hawataki kukibali ukweli linapo kuja suala linalo husu Amerika kuzidiwa kete na wenzake mpaka kufikia hatua ya kuhaibika kimataifa chukulia mfano ulio utaja hapa: Kulipuliwa kwa military bases mbili za US nchini Iraq - infrastructure zote nyanganyanga wanajeshi walio jichimbia kwenye mahandaki ya zege kujerujiwa nina halika wengi walikufa licha ya kujichimbia lakini Amerika haiwezi kusema ukweli huo - sasa ubabe wote wa US pamoja na majigambo yaliishia wapi, mbona walikaa kimya bila ya kuichukulia Iran hatua yoyote kijeshi? Hapo hatuja gusia kuhusu Iran kutungua drone ya kipelelezi ya Merikani miaka miwili iloyipita na hapo Donald Trump pamoja na jeshi lake walikaa kimya,Obama ma jeshi lake vile vile walikaa kimya baada ya Drone yao ya teknolojia ya hali ya juu kuteremushwa/shushwa gracefully na jeshi la Iran wakaipeleka kwenye maabara yao ya kijeshi kuifanyia utafiti waka reverse engineer wakaunda ya kwao kama vile vile ya Kimerikani tuliona kwa macho yetu ikirushwa na jeshi la Iran - napo mbona jeshi la Amerika na Obama walikaa kimya wakawa wanalia lia kwamba Wairan wawarudishie Drone yao ikiwa in one piece!!

Leo hii watu wanatuletea hapa make believe stories kuhusu udhaifa wa jeshi la Iran ma kwamba Iran hipo nyuma sana kisayansi na kiteknolojia, kisa? CNN,FoxNews na SkyNews imewambia hivyo kwamba Iran si lolote si chochote na baadhi ya watu na akili zao timamu wana amini maigizo/propaganda za MSM as if wakisemacho ni Gospel TRUTH!!
 
Israel hi hihiambayo kama hezbulllah wakiamua wanaweza kuichukua Jerusalem kwa mwezi 1 na nusu ndo ikapigane na Iran yaani Israel inayopewa kichapo na wavuta bangs wa west Bank ndo ikachokoze Iran kweli acha masihara were usichukilie vitu kirahisi rahisi tu
 
marekani iliweka mifumo ya ulinzi wa iran ilitanguliza kombora moja kwanza ili kupiga jamming ndo maana hata satelite hazikuona kitu mfumo wa kutoa onyo la mapema nao haukuona kitu

jaman tukubarini tu iran ni level nyingine

Hata kama hamuwapendi
Hahahaha Yani hata unachoongea hukijui,kwahiyo Iran ikatuma ballistic missile iende kujam air defenses?! Aiseee hiki ni kituko cha mwaka
 
Mkuu watu wamekariri.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ