Memba wa Umoja wa Mataifa waondoka ukumbini, wasusia hotuba ya Waziri wa Urusi

Memba wa Umoja wa Mataifa waondoka ukumbini, wasusia hotuba ya Waziri wa Urusi

Halafu kesho utashangaa wanatangaza vikwazo kupitia hotuba hiyo hiyo walioisusa.
 
Zaidi ya wajumbe 140 wa Baraza la Haki za Binadamu la Umoja wa Mataifa, leo Machi Mosi, 2022 walitoka nje ya ukumbi baada ya kukataa kusikiliza hotuba ya Waziri wa Mambo ya Nje wa Urusi, Sergei Lavrov.

Waziri huyo alikuwa akishiriki mkutano huo kwa njia ya video kutokana na mipaka ya ndege kwenda Geneva kutoka Urusi kuzuiwa, ambapo alikuwa akizungumzia mbele yao kuhusu kuhalalisha wa uvamizi wa kijeshi wa taifa lake dhidi ya Ukraine ambao bado unaendelea.

Wanadiplomasia walioshiriki katika mkutano huo hasa kutoka Marekani na Uingereza ndiyo ambao walianza kusimama na kuondoka wakati video ya Waziri huyo ikiendelea.


Source: Reuters


===========================================

EU, US, British envoys boycott Lavrov speech at UN rights forum

GENEVA, March 1 (Reuters) - Dozens of diplomats from the European Union (EU), United States and Britain walked out of a speech by Russian Foreign Minister Sergei Lavrov to the top U.N. human rights forum on Tuesday, according to a Reuters witness.

Lavrov was addressing the U.N. Human Rights Council remotely, having cancelled his attendance earlier due to what the Russian mission in Geneva said on Monday were EU states blocking his flight path.

View attachment 2135280

View attachment 2135281

Walipokuwa wanauwa watu iraq sirya libya hilo baraza lilikuwa likizo she**z
 
Hawa US na Nato wana utoto mwingi sana kumbe wale jamaa zetu walijifunza huku kususasusa sio
Russia ni Taifa la hovyo,linalinda mataifa yanayofadhili ugaidi Duniani na pia linatetea madikteta ndo maana CCM mnaipenda Russia
 
Russia haijawai kushindwa ktk vita yyte ile na inajitosheleza kwa kila kitu

Hivi hata kwa watwaleban nako walishinda eeh?

Zaidi sana vita si wakapigane na size yao? Kwani size yao hawawajui?

Jaribu kutofautisha vita na uonevu.

Kumbuka mburumundu kuiona tofauti hiyo labda kwa tochi.
 
Hivi hata kwa watwaleban nako walishinda eeh?

Zaidi sana vita si wakapigane na size yao? Kwani size yao hawawajui?

Jaribu kutofautisha vita na uonevu.

Kumbuka mburumundu kuiona tofauti hiyo labda kwa tochi.

Uonevu walifanya wamarekani nchini sirya libya na iraq
 
Sergei lavrov alisema vizingiti wanavyoweka hao wapuuzi haviwezi kua sababu yakutokupeleka moto zaidi UKRAINE
yaani wasuse weeee ila moto uko pale pale mpaka tupite na JOTI na KIEV yake
 
Back
Top Bottom