Kikapuu
JF-Expert Member
- Sep 14, 2021
- 1,122
- 1,629
sawaSergei lavrov alisema vizingiti wanavyoweka hao wapuuzi haviwezi kua sababu yakutokupeleka moto zaidi UKRAINE
yaani wasuse weeee ila moto uko pale pale mpaka tupite na JOTI na KIEV yake
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
sawaSergei lavrov alisema vizingiti wanavyoweka hao wapuuzi haviwezi kua sababu yakutokupeleka moto zaidi UKRAINE
yaani wasuse weeee ila moto uko pale pale mpaka tupite na JOTI na KIEV yake
Tanzania wasomi million 8 mbumbu Kama wewe milioni 52 tofauti ni kubwasanaWajinga tu uhuru wa kuongea mwache na mwenzako mwenye mawazo mbadala aongee kukubali au kutokubali suala lingine. Hawa wanataka kila mtu afuate wanavyotaka wao. Hope kulikuwa na nchi za Africa na South America najuwa hao wanawajuwa hawa nitashangaa kama Africa nao walitoka labda yule mkenya
Uonevu walifanya wamarekani nchini sirya libya na iraq
Mbona unawageuzia kibao waisraeli?Hawa wazungu mara nyingine kama binadamu kamili utabaki tu kujiuliza, ukamilifu wa ustaarabu wanaojivunia upo wapi.
Hivi waliwahi kususia hotuba za Waziri Mkuu wa Israel aliyepita, licha ya maovu yote aliyoyafanya dhidi ya Palestine.
Hii Dunia imejaa unafiki sana.
Vikwazo ni pamoja na kutomsikilizaWajinga tu uhuru wa kuongea mwache na mwenzako mwenye mawazo mbadala aongee kukubali au kutokubali suala lingine. Hawa wanataka kila mtu afuate wanavyotaka wao. Hope kulikuwa na nchi za Africa na South America najuwa hao wanawajuwa hawa nitashangaa kama Africa nao walitoka labda yule mkenya
Ila hawa wanapigana na size yao?
Sasa yale maneni free of speech ndio basi tena. Tuseme uko sahihi basi hakuna haja ya kufungia media maana una hiyari kutosikiliza au kusoma wacha kuna wengine watasikiliza.Vikwazo ni pamoja na kutomsikiliza
Kwa hiyo sasa "na wapigwe tu" kipinda pinda?walidanganywa na nato
Free speech kwenye vita sahau inafanya kazi ikwenye utulivu na demokrasia tuSasa yale maneni free of speech ndio basi tena. Tuseme uko sahihi basi hakuna haja ya kufungia media maana una hiyari kutosikiliza au kusoma wacha kuna wengine watasikiliza.
Kwa hiyo sasa "na wapigwe tu" kipinda pinda?
Kwamba kama vipi "wauliwe tu" wakiwamo wanawake na watoto wasio na hatia?
unajua sirya iraq libya afaghanistani marekani na washirika wake wameua wanawake na watoto wangapi?
Tangu lini makosa mawili yakafanya jingine kuwa sahihi?
Kwa sababu aliuwa Marekani, mpaka kwanza kila mtu auwe ndipo wewe uanze kulaani unyama wa aina hiyo?
Kwanini hudhani tulilaani ya Libya, Iraq, Granada, Panama nk kama tunavyolaani leo ya Urusi au ya Kingai, Mahita, Hamza, Jumanne, Goodluck na wenzao?
Wewe mgeni wala hata hukuwahi kusikia wakiuliziwa waliko kina Ben, Azory, Lijenje au waliokuwa kwenye viroba?
Wajinga kweli hata mimi nimewadharau sana....Hawa US na Nato wana utoto mwingi sana kumbe wale jamaa zetu walijifunza huku kususasusa sio
[emoji16][emoji16][emoji16]Hawa US na Nato wana utoto mwingi sana kumbe wale jamaa zetu walijifunza huku kususasusa sio
Punguzaga uongo,Russia Vita ya kuizuia USSR isivunjike alishindwa na Vita dhidi ya Georgia alishindwa.Russia haijawai kushindwa ktk vita yyte ile na inajitosheleza kwa kila kitu
Embu acha uongo ww hayo maeneo yalikua yakikaliwa na watu was asili zote.Mbona unawageuzia kibao waisraeli?
Palestinians wanawachokoza waisraeli , Israel inachokifanya ni self defence .
Hayo maeneo mnayodai ya Palestine sio ya kwao,ni maeneo ya Waisraeli kwa zaidi ya miaka elfu 4 iliyopita!