Themagufulianz
JF-Expert Member
- Apr 15, 2017
- 4,548
- 1,988
Huyu mende mbona hafanyi kampeni sasa.....
Mradi huu wa ccm mara hii ulishindwa hata kabla haujaanza...... Walihljifanya kumfukuza uanachama ikiwa ni mipango yao kuvuruga upinzani sasa wameshindwa rasmi...
Kuna mawaziri wanakiuka hilo?Swaiba, mgombea wa CCM anazijua kanuni za uchaguzi?
View attachment 1576752
CCM mliUnderestimate upinzani.Aupasue mara ngapi?
Membe sasa hivi akiamua anauwezo wa kuingia hadi chumbani mwa chadema tena kwa kumkaribisha
Safari hii hakuna cha tume, dk 90 mchezo utatoa jibu.Matokeo kwa TUME hii hayatotofautiana na matokeo ya Maalim zanzibar 2015 , labda Lissu aje nambinu ya Ziada nayo ninguvu ya uma.
Hivi chadema mnashngilia kitu gani kwenye hili?
Acha kujitikisa, Sindano itavunjikia ndani...!Vyama vya upinzani uache kukumbatia hawa "wasaliti" wa CCM. Wengine wanatumwa tu!
Sasa wewe unasimamia kitu gani?
Maana jana ulikuwa unashangilia Seif aliposema rais wa bara ni Lisu.?
Huyu membe atawavuruga sana mpaka mtie akili
Mkuu, kuna shoga hapo juu, limeni Quite likaandika Maneno ya ajabu ajabu kweli,Vipi mgombea wenu amelala anasubiri kuapishwa kama mlivyokuwa mnasema?
Naona wanafunzi wa chekechea,shule za msingi na sekondari wanafurahia matamasha ya bure ya wanasanii 100.
Sijawahi kushabikia mtu yoyote aliepo CCM kuhama na kuingia upinzani kwa sababu ya kunyimwa nafasi. Hawa kwangu nawaona kuwa ni walafi tu ama wametumwa. Sijawahi kuwaamini.Aaahh, mlivyokuwa mnamshabikia kuwa Kachero mbobezi.
Twende nae tuu mpaka Oktoba 28
Waulize viongozi wa chama sio mimi. Sina chama, nipo neutral kwenye siasa, natizama maendeleo ya taifa na sio chama.N
Na ninkwa nini mumlazimishe kujiunga na ninyi?
Kwa nini msiombe mzee wa ubwabwa mbina yupo free?
Kama mnataka muungano basi mumpe membe kijiti ili apeperushe bendela ya upinzani kama mnaona kuna haja na sio.kumlazimisha yeye ndo awaunge mkono.
Jafo alipigiwa simu akatoa ahadi laivu akisikika kwenye mkutano wa kampeni.Swahiba Umesikia wapi mawaziri wakifanya hivyo?
Kufanya kampeni sio takwa la lazima kisheria...Huyu mende mbona hafanyi kampeni sasa.....
Mradi huu wa ccm mara hii ulishindwa hata kabla haujaanza...... Walihljifanya kumfukuza uanachama ikiwa ni mipango yao kuvuruga upinzani sasa wameshindwa rasmi...
Mkuu naona sasa hivi ushakua nyoka wakijani kabisa. Nakukumbusha tu LOWASSA yupo huko.Safari hii hakuna cha tume, dk 90 mchezo utatoa jibu.
Wewe wasema.Hata Kama vyama vyote vya upinzani kwasasa vikiungana bado havijawa na uwezo wa kumuangusha JPM. Vyama vya upinzani mwaka huu ni dhaifu kuliko miaka yote ya Hivi karibuni.
Ok mkuu...Kufanya kampeni sio takwa la lazima kisheria...
ila najua mwakani watabadili sheria ....
ukipewa nafasi ya kugombea uraisi itakuwa ni takwa la lazima kuzunguka mikoani kuomba kula kwa ilani ya chama chako.........it's loading
Pole kwa kuvurugwa.... Na bado mkuu mtavurugika sn safari hii......jana ilikuwa sherehe anaungana na chandema....
Leo mnamkimbizia ccm
wanadamu hawana wema
viva Magu 2020 to 2030
Huyu mende mbona hafanyi kampeni sasa.....Sasa wewe unasimamia kitu gani?
Maana jana ulikuwa unashangilia Seif aliposema rais wa bara ni Lisu.?
Huyu membe atawavuruga sana mpaka mtie akili
Sasa hivi unamuona Membe ni mradi wa ccm ila akitangaza kuiunga mkono chadema utajuja hapa na kushangilia na kusema ni jasusi mbobevu na tayari mmeshashinda.Huyu mende mbona hafanyi kampeni sasa.....
Mradi huu wa ccm mara hii ulishindwa hata kabla haujaanza...... Walihljifanya kumfukuza uanachama ikiwa ni mipango yao kuvuruga upinzani sasa wameshindwa rasmi...