Uchaguzi 2020 Membe akanusha kuiunga mkono CHADEMA, yeye ndiye Mgombea Urais wa ACT-Wazalendo

Vyama vya upinzani uache kukumbatia hawa "wasaliti" wa CCM. Wengine wanatumwa tu!

Jitahidi uifahamu democrasia, Ni haki kila raia kujiunga na chama chochote cha siasa, kupiga kura na kupigiwa kura.

Mjitahidi kuwa wavumilivu ondoeeni neno wasaliti, ni wewe ndio unaesaliti demokrasia kwa kutotaka ifanye kazi.
 
Hata Kama vyama vyote vya upinzani kwasasa vikiungana bado havijawa na uwezo wa kumuangusha JPM. Vyama vya upinzani mwaka huu ni dhaifu kuliko miaka yote ya Hivi karibuni.
Jipe moyo tuu,
Ujuwe kuwa Mwaka huu ndio mwisho wa CCM Tanzanaia.
CCM Bye Bye
Karibu Lisu Ikulu ya Dodoma, na Magogoni Dar es Salaam
 
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] Sasa hii ndio nini?

Membe hapigi kampeni kwasababu kakata tamaa na hana hela na anajua hawezi kushinda so hawezi kupoteza heka zake kwa kitu ambacho matokeo yake ni 0.

Membe angekuwa na akili za huo ukachero wake asingechukua form ya kugombea badala yake muda huu angekuwa anazunguka huko mikoani kumnadi Lisu.

Yani mtu kutopiga kampeni ndio kamuunga mkono Lisu?
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Only in chadema.

Membe haanini kama wale watz wakiompigia kelele za jasus mbobevu ndio hawa hawa hata kwenye kampeni zake hawatokei.
 
unajichanganya.... sio mamluki wa ccm tena?
Rudia kusoma ulichoandika mwanzo?

Mteyiz the owner of chadema ni mstaafu mwenye kiapo cha kutoisaliti serikali.... DJ nae maafisa... wabunge kibao maafisa..

Inabidi uwe zombie ndio utashangilia upinzani TZ[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]

kama una akili timamu simama na ccm

Viva Magu
Pole kwa kuvurugwa.... Na bado mkuu mtavurugika sn safari hii......

Membe kachero mbobezi bado pyslip yake inadoma vzr kabisa
 
Kwani sasa hivi huo mfumo haupo?
 
Hata Kama vyama vyote vya upinzani kwasasa vikiungana bado havijawa na uwezo wa kumuangusha JPM. Vyama vya upinzani mwaka huu ni dhaifu kuliko miaka yote ya Hivi karibuni.
hiki ni kinyume chake na mwaka huu mtaumia kwelikweli mtalia machozi na hamtapata pa kujifichia
 
Jitahidi uifahamu democrasia, Ni haki kila raia kujiunga na chama chochote cha siasa, kupiga kura na kupigiwa kura.

Mjitahidi kuwa wavumilivu ondoeeni neno wasaliti, ni wewe ndio unaesaliti demokrasia kwa kutotaka ifanye kazi.
Wewe unaifahamu demokrasia? Kwa sababu ndani ya demokrasia nina haki kuwa neutral pia, ama unalazimishwa kuwa na chama kwenye demokrasia?
 
Maccm sasa hivi yanachezewa akili kama watoto, yanapigwa huku na kule. Endeleeni kujadili kama Membe amekanusha au anaunga lakini mjue moja kuwa mmekwisha. Mlijisahau sana inzi wa kijani nyie. Sasa hivi Baba yenu anakanusha vitu ambavyo vipo kwenye utekelezaji kama vitambulisho vya machinga kwa hoja mufilisi. Anaweweseka tu.
 
Membe agombee, ajitoe yote ni sawa tu kwani uwepo wake hauna impact yoyote. Ila namshauri ni bora angerudi tu ccm hii njama yao ya kuleta mamluki upinzani umashabuma.
 
CCM wanatamani wampe Membe hela za kampeni ajaribu kupunguza kura za Lissu ha ha ha...maji mu shingo!!

Uchaguzi huu ni pure game plan....kwa sisi wapendwa kandanda!! tushanajua tushajua
 
Zambi aliyofanya DJ, Lisu na baadhi ya wapampe wa DJ kumkaribisha Lowasa ndio iliyo ua upinzani, Zambi ile haita waacha salama, Lisu, DJ na wapambe watailipia tena kwa maumivu makubwa.
 

Attachments

  • NI MURUNDI.mp4
    3.3 MB

Unatia Aibu. Hama basi. Nenda Mombasa. Hapa kazi tu. Muda wa taarabu umekwisha.
 
Kiongozi Mkuu wa Chama yupo wapi? Huyu normally yupo very active huko Twitter ila kwenye issue hii kajichimbia chini ya meza.

Chama hiki kila mtu ni Kambare..
 
Swahiba Umesikia wapi mawaziri wakifanya hivyo?

Sengerema na Uvinza.

Mabilioni ya shilingi yaliidhinishwa kwenye JUKWAA LA KAMPENI kwa ajili ya ujenzi wa barabara.

"NI RUSHWA"
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…