SAGAI GALGANO
JF-Expert Member
- Nov 13, 2009
- 47,706
- 69,281
Kwanini Jiwe anamuogopa Membe? Aachwa achukue form kama Jiwe anakubalika ni dhahiri Membe ataangukia pua na itakuwa mwisho wa huu utoto
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nilijua tu, lazima umtaje Mbowe, una tatizo gani na Mbowe ndugu yangu Ben? Mwana USS mwenzanguSote tunafahamu kuwa Membe ameshafukuzwa uanachama ndani ya Chama cha Mapinduzi CCM, sasa anaposema atachukua fomu kesho jumatatu ana maana gani kama sio vurugu?
Mbowe (Mwenyekiti) na Tundu Lissu na sasa Magufuli (Mwenyekiti) na Membe je vyama vitabaki salama? Ni mchuano kati ya Wababe na Wahanga wa tawala zao!
Nawapongeza Membe na Lissu kwa kuamua kuwa wa kwanza kufunga paka kengele kwenye vyama vyao. Hiyo ndio demokrasia tunayoitaka wakati mwingine. Tushindane kwa hoja.
Swali langu ni Katibu Mkuu wa CCM atampa Membe fomu wakati sio mwanachama wa CCM? Na akimnyima je itakuwaje mbele ya vyombo vya habari?
Kesho pakuche haraka!
Tahadhari! Membe akichukua fomu kibarua cha Makonda kitakuwa hatarini kama wenzie Nape, Gambo n.k
View attachment 1484856
Kasema kati ya juni na oktoba chochocte chaweza tokea, namuona ACT....changamoto inakuja act wamesema wanaungana na chadema, je chadema watakubali membe awe mpeperusha bendera? Jibu: hii ni karata ya chadema kumsimamisha membe kwa kivuli cha act, waonekane sio wao waliomchukua membe na kuonekana wamerudia kosa lile lile la lowasa....chadema hawasimamishi mtu uchaguzi huu bali watamuunga mkono membe wa act...
Angalizo kwa sisiemu: huyu jamaa akiingia kugombea urais, kuna manouvre makali atafanya na kina januari kwenye votes...
Ifanyike juhudi zozote asichukue form ktk chama chochote, kwa kifupi asigombee! Sio kwamba ana nguvu ya kupendwa, la hasha, JPM anakubalika zaidi kwa wananchi, uwanja ukiwa fair, jpm anashinda dhidi ya membe saa tatu asubuhi, ila ana link kali aliyonayo membe ya kucheza na votes ndio threat, ana link na vijana wa it mpaka wa nje na bado ana vijana kawaacha tiss...
Usilazimishe,dhamira yake ipo CCM,mwache atumie haki yake kikatiba.huyu anausaka hatutaki mtu anayelalama kila siku ooho mara nalala na mafaili mara ooho kazi ya urais ni ngumu Sana.huyu mtu kwetu ameprove failure kwa kutokuwa na kifua na kustahamili mikiki ya kiuongozi.Akachukue ACT wazalendo
Bahati mbaya fomu ya kiti cha rais iikuwepo moja, Mwenyewe kashaichukua, Labda fomu za Uwakilishi maana fomu zipo za namna nyingiYeye alishasema hajapewa barua yeyote ya kufukuzwa Uanachama. So yeye bado ajiona yu mwana CCM mwenye sifa za kugombea nafasi hiyo pendwa
Huyu anaombea hata kifo cha Rais, maana anaamini kama Rais akifa kabla ya uchaguzi basi yeye njia nyeupe ikulu, ngoja Mungu amchukue yeye kwa kadri aombavyo
Threat ya membe ni walio nyuma yake kumuingiza ikulu kwa njia za ki-IT, kiuhalisia on a fair playing field, membe hamuwezi JPM kwa wananchi, jpm yuko more marketable kutokana na aliyofanya miaka hii mitano, membe sana sana atamgaragaza magufuli ktk kijiji chake tu...labda na Hai...Sasa kama hana nguvu si ndio wampe form sasa ili wachuane ili mwisho wa siku tuone matokeo akishinda Anko Magu
Ni kweli, ila aliposema lolote laweza tokea kati ya juni na oktoba, anaweza akavuka boda....Usilazimishe,dhamira yake ipo CCM,mwache atumie haki yake kikatiba.huyu anausaka hatutaki mtu anayelalama kila siku ooho mara nalala na mafaili mara ooho kazi ya urais ni ngumu Sana.huyu mtu kwetu ameprove failure kwa kutokuwa na kifua na kustahamili mikiki ya kiuongozi.
Mwaga pombe twende na kazi na bata.[emoji109][emoji109]
Kwa sisiemu IT WILL NEVER HAPPEN. Nafasi anayo kwa vyama vya upinzani...Membe chukua form bwana.
Ni vile wamekuza uanachama tu. Otherwise jamaa yupo determined kuchukua form.Kwa sisiemu IT WILL NEVER HAPPEN. Nafasi anayo kwa vyama vya upinzani...
Ni vile wamekuza uanachama tu. Otherwise jamaa yupo determined kuchukua form.
Sio hiyo halmashauri kuu ikimruhusu achukue form...Ni vile wamekuza uanachama tu. Otherwise jamaa yupo determined kuchukua form.