Uchaguzi 2020 Membe: Kamati Kuu haina mamlaka ya kunifukuza Uanachama wa CCM bali Halmashauri Kuu ya Taifa. Asema kati ya Juni na Oktoba chochote kinaweza tokea

Uchaguzi 2020 Membe: Kamati Kuu haina mamlaka ya kunifukuza Uanachama wa CCM bali Halmashauri Kuu ya Taifa. Asema kati ya Juni na Oktoba chochote kinaweza tokea

Kwanini Jiwe anamuogopa Membe? Aachwa achukue form kama Jiwe anakubalika ni dhahiri Membe ataangukia pua na itakuwa mwisho wa huu utoto
 
Sote tunafahamu kuwa Membe ameshafukuzwa uanachama ndani ya Chama cha Mapinduzi CCM, sasa anaposema atachukua fomu kesho jumatatu ana maana gani kama sio vurugu?

Mbowe (Mwenyekiti) na Tundu Lissu na sasa Magufuli (Mwenyekiti) na Membe je vyama vitabaki salama? Ni mchuano kati ya Wababe na Wahanga wa tawala zao!

Nawapongeza Membe na Lissu kwa kuamua kuwa wa kwanza kufunga paka kengele kwenye vyama vyao. Hiyo ndio demokrasia tunayoitaka wakati mwingine. Tushindane kwa hoja.

Swali langu ni Katibu Mkuu wa CCM atampa Membe fomu wakati sio mwanachama wa CCM? Na akimnyima je itakuwaje mbele ya vyombo vya habari?

Kesho pakuche haraka!

Tahadhari! Membe akichukua fomu kibarua cha Makonda kitakuwa hatarini kama wenzie Nape, Gambo n.k

View attachment 1484856
Nilijua tu, lazima umtaje Mbowe, una tatizo gani na Mbowe ndugu yangu Ben? Mwana USS mwenzangu


Anyway Membe huko ame Tweet kwamba anasikilizia kamati kuu imsafishe, namuona Kama amekwisha chemka anatafuta namna yakupumua.
 
Kasema kati ya juni na oktoba chochocte chaweza tokea, namuona ACT....changamoto inakuja act wamesema wanaungana na chadema, je chadema watakubali membe awe mpeperusha bendera? Jibu: hii ni karata ya chadema kumsimamisha membe kwa kivuli cha act, waonekane sio wao waliomchukua membe na kuonekana wamerudia kosa lile lile la lowasa....chadema hawasimamishi mtu uchaguzi huu bali watamuunga mkono membe wa act...
Angalizo kwa sisiemu: huyu jamaa akiingia kugombea urais, kuna manouvre makali atafanya na kina januari kwenye votes...
Ifanyike juhudi zozote asichukue form ktk chama chochote, kwa kifupi asigombee! Sio kwamba ana nguvu ya kupendwa, la hasha, JPM anakubalika zaidi kwa wananchi, uwanja ukiwa fair, jpm anashinda dhidi ya membe saa tatu asubuhi, ila ana link kali aliyonayo membe ya kucheza na votes ndio threat, ana link na vijana wa it mpaka wa nje na bado ana vijana kawaacha tiss...

Sasa kama hana nguvu si ndio wampe form sasa ili wachuane ili mwisho wa siku tuone matokeo akishinda Anko Magu
 
Yani itoke kauli moja tu kuwa Membe kwa sasa ndani ya chama anasubiri tatatibu zipi. Yani ni hiyo tu.

Sasa niwaombe waandishi, hiyo kauli haiwezi kutoka bila nyie kufanya yenu. Mtafuteni Bashiru popote alipo mumhoji ili kipyenga kipulizwe. Tafadhali Pasco na wenzako fanyeni kazi yenu, msitucheleweshe.
 
Akachukue ACT wazalendo
Usilazimishe,dhamira yake ipo CCM,mwache atumie haki yake kikatiba.huyu anausaka hatutaki mtu anayelalama kila siku ooho mara nalala na mafaili mara ooho kazi ya urais ni ngumu Sana.huyu mtu kwetu ameprove failure kwa kutokuwa na kifua na kustahamili mikiki ya kiuongozi.

Mwaga pombe twende na kazi na bata.[emoji109][emoji109]
 
Awe macho na SUMU! Hizo meza asiziamini, awe anakuja na ya kwake! na Kitti
 
Yeye alishasema hajapewa barua yeyote ya kufukuzwa Uanachama. So yeye bado ajiona yu mwana CCM mwenye sifa za kugombea nafasi hiyo pendwa
Bahati mbaya fomu ya kiti cha rais iikuwepo moja, Mwenyewe kashaichukua, Labda fomu za Uwakilishi maana fomu zipo za namna nyingi
 
Hahahhaha... Mtapata tabu sana! MEMBE yule alishakatwa mkia
 
IMG-20200621-WA0006.jpg
 
Sasa kama hana nguvu si ndio wampe form sasa ili wachuane ili mwisho wa siku tuone matokeo akishinda Anko Magu
Threat ya membe ni walio nyuma yake kumuingiza ikulu kwa njia za ki-IT, kiuhalisia on a fair playing field, membe hamuwezi JPM kwa wananchi, jpm yuko more marketable kutokana na aliyofanya miaka hii mitano, membe sana sana atamgaragaza magufuli ktk kijiji chake tu...labda na Hai...

Ingawa naamini kambi zote zimejifunza udhaifu au loopholes zilizokuwapo au zilizotarajiwa kuwapo 2015 ktk uchaguzi upande wa IT....

Kama wale vijana wa IT wasimgekamatwa, kulikuwa na balaa...
IT IS THE BITCH...
 
Kwani Paschal Ni Nani kwenye industry ya HABARI?
Si lololote si chochote!! Ni mdogo Sana!
 
Usilazimishe,dhamira yake ipo CCM,mwache atumie haki yake kikatiba.huyu anausaka hatutaki mtu anayelalama kila siku ooho mara nalala na mafaili mara ooho kazi ya urais ni ngumu Sana.huyu mtu kwetu ameprove failure kwa kutokuwa na kifua na kustahamili mikiki ya kiuongozi.

Mwaga pombe twende na kazi na bata.[emoji109][emoji109]
Ni kweli, ila aliposema lolote laweza tokea kati ya juni na oktoba, anaweza akavuka boda....
 
Back
Top Bottom