Uchaguzi 2020 Membe: Kamati Kuu haina mamlaka ya kunifukuza Uanachama wa CCM bali Halmashauri Kuu ya Taifa. Asema kati ya Juni na Oktoba chochote kinaweza tokea

Aje agombee huku Chadema.ila aje na hela,sisi atunaga noma ni hela mbele.
 
Sisi ni akina nani? Wewe sema tu wewe, maana hakuna anayethubutu kukuunga mkono hadharani. Jikune tu baba ili ujichekeshe mwenyewe.
 
Membe ana stress za kufukuzwa ccm,alijiaminisha kwamba anaogopwa
Mtu mwenye akili timamu hawezi kujadili urais kupitia chama alichofukuzwa,biashara na ccm imefungwa
Atangaze mapema nia kupitia upinzani,anapima upepo hadi lini?
 
Huyu asipokuwa makini miaka mitatu ijayo hata pesa ya petrol itakuwa inampiga chenga. Hawatamfunga lakini watamkausha pesa zake zote.
 

Juni 21, 2020
Lindi, Tanzania

TAMKO JIPYA LA LEO LA BERNARD MEMBE KUHUSU KUGOMBEA URAIS WA TANZANIA 2020
Bernard Membe leo asema : nipo tayari kujipima na Rais na kama Kamati Kuu na Halmashauri Kuu ya CCM ikikubali iliteleza basi hata jumatatu nitaenda Dodoma kuchukua fomu ya kutia nia na kuanza kusaka saini za wadhamini ktk mikoa yote ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania

Source: Lindi Yetu TV
 
Vigezo anavyo,,lakini tamaduni yetu haitaki
Na shida ni kuwa CCM ni chama cha siasa na sio kikundi cha utamaduni!
Hapo ndio songombingo linapoanzia.
Na asilolijua Magu ni kuwa, kama kura za siri zinapigwa ndani ya vyombo vya maamuzi vya CCM yaani KK au NEC kupata hata 30% ni ngumu sana na asidanganyike na vigelegele na nyimbo.
Watu wengi ndani ya CCM wameumizwa sana kama walivyoumia nje ya ccm
 
Hivi unaposema Membe hana sifa za kumzidi Magu, Sasa mbona unawashwa MNDUKU ukisikia Membe anataka kugombea? hivi wewe unatuma hiyo SMS ukiwa kaburini au upo Mombassa ukigawa starehe kwa Bursher?

Hivi hizi sarakasi za wachunga Ng'ombe zinazofanywa dhidi ya Membe ni za nini? Ifikirie sana hii sentensi; " Tunalindwa na katiba ya nchi na siyo utamaduni". Kama wewe ni mchunga ng'ombe 2020 jipange kurudi machungani hapa town wanabaki ma Born town na ma bush star watarudi bush, hili game la 2020 ndani ya ccm ni: Ma born town VS Ma bush star.
Wachunga ng'ombe mjipange kurudi mlikotoka.
 
Hakika Magu anapotezwa na vigeregere feki vya Mwigulu Nchemba lakini kura za siri atapata <20% na ikitokea zikapigwa za wazi atapata <30% hayo mahaba halisi ya wanaccm kwake.
 
Nukuu toka maktaba online

April 8, 2019

Rais Magufuli - "Nawashangaa wanaoupenda urais"


Rais John Pombe Joseph Magufuli wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania , azidi kuwaomba waTanzania kwa kusema "Nisijesimama mahali Nikajisahau hivyo mniombee kwa Mungu wa Imani Zenu ili nisiwe kama wafalme wengine waliojisahau kwa kiburi...."

Source : ITV Tanzania
 

Juni 21, 2020
Lindi, Tanzania

TAMKO JIPYA LA LEO LA BERNARD MEMBE KUHUSU KUGOMBEA URAIS WA TANZANIA 2020

Bernard Membe leo asema : nipo tayari kujipima na Rais na kama Kamati Kuu na Halmashauri Kuu ya CCM ikikubali iliteleza basi hata jumatatu nitaenda Dodoma kuchukua fomu ya kutia nia na kuanza kusaka saini za wadhamini ktk mikoa yote ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania

Source: Lindi Yetu TV
 
Ni kwanini swala la Membe halikufika katika kikao cha Halmashauri kuu ya chama?

waadishi wa habari mnaogopa nini wafuateni kina polepole waulizeni watoe majibu ya maswali ya membe
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…