Uchaguzi 2020 Membe: Kamati Kuu haina mamlaka ya kunifukuza Uanachama wa CCM bali Halmashauri Kuu ya Taifa. Asema kati ya Juni na Oktoba chochote kinaweza tokea

Kama umemsikiliza Membe vizuri, kakiri kuwa Kamati kuu ina mamlaka ya kutoa maamuzi ya mwisho bila kupitia halmashauri kuu.
 
Huo urais aende akagombee chadema au ACT lakini sio CCM na haita kuja itokee membe awe rais wa tanzania ,hana vigezo wala hata nusu ya kumfikia Dr. Magufuli hakuna wa kumpinga magufuli ndani ya CCM. Over.
Umewahi kuusoma katiba?
 
Mwambieni CCM hakuna fomu nyingine. Ilikuwa moja tu na ilikuwa ishaandikwa jina.
Aende ACT labda.
Hamjiamini?
Mtu wenu hamna confidence kama anaweza toboa?
Mbona mnamwogopa sana mzee wa watu?
 
Sasa uoga wa tume huru unatoka wapi?
 
Usihukumu watu wa pwani..

mbona viongozi wengi wametoka mrima..na hakuna kelele ...

Wangeanza na TI.. .maana ndio wengi kule na mfumo aliweka nyerere mtu wa bara!
Mnavunja katiba ...fomu ziwekwe na kusifanywe figisu..tuone nani down!

Silaha ni akili... .. ndo ujuwe uhuru wa kuchagua ni muhimu....
 
Wakuu mwanaume aliyebaki tz amejinasibu kutangaza kugombea urais 2020 kupitia ccm nimesema mwanaume aliyebaki tz ni baada ya mabaharia kusalimu amri kwa jiwe na kuomba msamaha
Your browser is not able to display this video.
 
Jiwe akimalizana na upinzani ni anahamia rasmi CCM,ni mwendo wa goti tu!
 
Wakuu mwanaume aliyebaki tz amejinasibu kutangaza kugombea urais 2020 kupitia ccm nimesema mwanaume aliyebaki tz ni baada ya mabaharia kusalimu amri kwa jiwe na kuomba msamaha
View attachment 1486326


Edited hii kaka nenda youtube iko nzima alisema kama CCM wakisema hana tatizo ndo atajaza form hiyo jumatatu hii imekatwa tena ikibidi ifute hii hapa bro
 
Safi sana kamanda Membe wewe ndio mtu pekee anayejitambua vyema cccm nzima.
 
Japokuwa siyo mwanachama wa hivi vyama ila makala hii imenifurahisha kweli.Chukua fomu mheshimiwa tuone mchuano mkali katika ya dimba la ccm
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…