kipara kipya
JF-Expert Member
- May 2, 2016
- 18,833
- 23,276
Wewe nani!Ni kwanini swala la Membe halikufika katika kikao cha Halmashauri kuu ya chama?
waadishi wa habari mnaogopa nini wafuateni kina polepole waulizeni watoe majibu ya maswali ya membe
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wewe nani!Ni kwanini swala la Membe halikufika katika kikao cha Halmashauri kuu ya chama?
waadishi wa habari mnaogopa nini wafuateni kina polepole waulizeni watoe majibu ya maswali ya membe
Umewahi kuusoma katiba?Huo urais aende akagombee chadema au ACT lakini sio CCM na haita kuja itokee membe awe rais wa tanzania ,hana vigezo wala hata nusu ya kumfikia Dr. Magufuli hakuna wa kumpinga magufuli ndani ya CCM. Over.
Mkuu kwani Siku hizi Katiba ipo???huwa twaongozwa kwa katiba au tamaduni?
Wengi tu ndani ya ccm wanamtaka membeNaona leo maccm hata chai kwao wanaiona kama shubiri
Hamjiamini?Mwambieni CCM hakuna fomu nyingine. Ilikuwa moja tu na ilikuwa ishaandikwa jina.
Aende ACT labda.
Sasa uoga wa tume huru unatoka wapi?Isingekua sheria inamtambua mshindi wa pili kwa kura nyingi katika uchaguzi Mkuu ili kukiwezesha chama kupata Ruzuku kubwa pamoja na mchango wake katika kupata wabunge wa viti maalum (ambao CHADEMA waliamua kugawana kama vinyumba ndogo vyao) sidhani kama kuna mtu yupo tayari kuingia kwenye ring moja na JPM
Sizungumzii ushabiki bali fikra pana za kuielewa siasa na makando kandoye.
Usihukumu watu wa pwani..Ofisi gani intampa hizo fomu, Kama anatumwa na K. Kikwete na wanamtandao aende chama chochote maana jumatatu fomu hapewi ofisi yoyote ya CCM, na ajiandae kweli kweli anaemtuma kachelewa angempa urais 2015, watu wa pwani walijiaminisha ccm washaimiliki sasa ndio basi na ccm hamtaikamata tena. Aanzishe vita bwege huyu tutamfuata huko aliko na AK47 tumevumilia sasa basi, ruhusa inachelewa sana, moto auwashe hio wiki ijayo. Hio corona ya Bibi zake.
Hii clip imechakachuliwa!.Wakuu mwanaume aliyebaki tz amejinasibu kutangaza kugombea urais 2020 kupitia ccm nimesema mwanaume aliyebaki tz ni baada ya mabaharia kusalimu amri kwa jiwe na kuomba msamaha
View attachment 1486326
Wakuu mwanaume aliyebaki tz amejinasibu kutangaza kugombea urais 2020 kupitia ccm nimesema mwanaume aliyebaki tz ni baada ya mabaharia kusalimu amri kwa jiwe na kuomba msamaha
View attachment 1486326
Every body has a price brother!Sasa uoga wa tume huru unatoka wapi?
Anachukua kwa chama kipi?