Usimfananishe Membe na vitu vya ajabu....Huo urais aende akagombee chadema au ACT lakini sio CCM na haita kuja itokee membe awe rais wa tanzania ,hana vigezo wala hata nusu ya kumfikia Dr. Magufuli hakuna wa kumpinga magufuli ndani ya CCM. Over.
Membe anakwenda kuchukua fomu ya kugombea urais wa Jamhuri ya muungano wa Tanzania.... magufuri amechukua ya kugombea kuviongoza vyombo vya dola...acheni membe akachukue ya kuongoza wananchi maana tunaimani nayeMwambieni CCM hakuna fomu nyingine. Ilikuwa moja tu na ilikuwa ishaandikwa jina.
Aende ACT labda.
Hakufukuzwa na kikao kilichotangaza kumfukuza kilikuwa kikao cha walevi tu wa madaraka...bado yuko ccm na tunaimani nayeHivi si alifukuzwa ccm au amechukua kwa tiketi ya chama gani?
Watanzania sijui tunakoelekea naanza kuwa na wasiwasi. Tuweni na umoja ili nchi isije sambaratika, nchi za kiafrica bado siyo wamoja sana kama tunavyodhania. Natamani jambo hili viongozi wetu wapo wakae wayamalize, Membe atatuletea shida unaona mwelekeo wake kudai tume huru siku za nyuma mbona hakusema? Halafu na wewe usizungumzie mambo ya AK47 usijianishe kutumia nguvu si sawa na wala siyo njia sahihi nchi inaweza ingia kwenye machafuko makubwa na visasi. Hatutaki nchi yetu ifike huko, itaikadi za chama zisigawe nchi. Nasema Membe aitwe aelezwe aache atatuleuea shida. Unaona reaction ya watu kama.wewe wanakimbia kusema silaha hiyo hapana ndugu yangu italeta shida tutaharibu kila kitu na hakuna atakaeshinde.Ofisi gani intampa hizo fomu, Kama anatumwa na K. Kikwete na wanamtandao aende chama chochote maana jumatatu fomu hapewi ofisi yoyote ya CCM, na ajiandae kweli kweli anaemtuma kachelewa angempa urais 2015, watu wa pwani walijiaminisha ccm washaimiliki sasa ndio basi na ccm hamtaikamata tena. Aanzishe vita bwege huyu tutamfuata huko aliko na AK47 tumevumilia sasa basi, ruhusa inachelewa sana, moto auwashe hio wiki ijayo. Hio corona ya Bibi zake.
Kabisa aisee...membe ndo chaguo letu watanzania na wanaccm kwa ujumlaTwende na Membe wana sisiyem wenzangu
Hawezi omba msamaha hata iwejeWame edit, epuka kusambaza hiyo picha whatsapp utaishia pabaya. Membe anajiandalia njia 2025. Baada ya hili tukio atajitokeza kuomba msamaha asamehewe, atalia sana na kupiga magoti.
Mbona km umepanic Mkuu
Fomu achukue tu ila akubaliane na matokeo km hakubali aende act ajipime uzito na Magufuli
Membe anachukua form ccm na tutamchagua sisi wana ccm, maana ndiye chaguo letu
subilieni muone maajabu ccm ina wenyewe meko alikaribishwa tu akaleta kiburi wenye chama wanenda chukua nafasi zaoHuo urais aende akagombee chadema au ACT lakini sio CCM na haita kuja itokee membe awe rais wa tanzania ,hana vigezo wala hata nusu ya kumfikia Dr. Magufuli hakuna wa kumpinga magufuli ndani ya CCM. Over.
Waambie hao mataga, jiwe kapewa fomu feki zimekosewa, anagombea vyombo vya dola badala ya uraisi, fomu halisi atapewa mh. C. Membe zakuomba kuteuliwa kugombea uraisi wa Jamuhuri ya Muungano wa TanzaniaMembe ndiye mgombea wa kiti cha Urais kupitia CCM mwaka huu ni suala la muda tu
Anasema tunalindwa na Katiba na sio Utamaduni sasa lakini mwenyekiti Wetu angemaliza hii miaka 5 kwanza halafu kachero aje 2025.
Ccm mafisadi imesha ondoka tanzania imebaki ccm makini chini ya mwenyekiti makiti makini na shupavu Dr. John pombe magufuli.Membe hajafukuzwa CCM hayo ni mamneno tu ya mitandaoni maana mpaka sasa hajapokea barua ya kufukuzwa chamani hivyo bado ni mwanachama halali,
sasa kama hujui ndo utajua kua CCM inawenyewe ulishaona mwenyekiti anakatwa?
sasa subiri utajua nini maana ya wanamtandao na hautaamini kinachotokea