Uchaguzi 2020 Membe: Kamati Kuu haina mamlaka ya kunifukuza Uanachama wa CCM bali Halmashauri Kuu ya Taifa. Asema kati ya Juni na Oktoba chochote kinaweza tokea

Uchaguzi 2020 Membe: Kamati Kuu haina mamlaka ya kunifukuza Uanachama wa CCM bali Halmashauri Kuu ya Taifa. Asema kati ya Juni na Oktoba chochote kinaweza tokea

Mwambieni CCM hakuna fomu nyingine. Ilikuwa moja tu na ilikuwa ishaandikwa jina.
Aende ACT labda.
Membe anakwenda kuchukua fomu ya kugombea urais wa Jamhuri ya muungano wa Tanzania.... magufuri amechukua ya kugombea kuviongoza vyombo vya dola...acheni membe akachukue ya kuongoza wananchi maana tunaimani naye
 
Ofisi gani intampa hizo fomu, Kama anatumwa na K. Kikwete na wanamtandao aende chama chochote maana jumatatu fomu hapewi ofisi yoyote ya CCM, na ajiandae kweli kweli anaemtuma kachelewa angempa urais 2015, watu wa pwani walijiaminisha ccm washaimiliki sasa ndio basi na ccm hamtaikamata tena. Aanzishe vita bwege huyu tutamfuata huko aliko na AK47 tumevumilia sasa basi, ruhusa inachelewa sana, moto auwashe hio wiki ijayo. Hio corona ya Bibi zake.
Watanzania sijui tunakoelekea naanza kuwa na wasiwasi. Tuweni na umoja ili nchi isije sambaratika, nchi za kiafrica bado siyo wamoja sana kama tunavyodhania. Natamani jambo hili viongozi wetu wapo wakae wayamalize, Membe atatuletea shida unaona mwelekeo wake kudai tume huru siku za nyuma mbona hakusema? Halafu na wewe usizungumzie mambo ya AK47 usijianishe kutumia nguvu si sawa na wala siyo njia sahihi nchi inaweza ingia kwenye machafuko makubwa na visasi. Hatutaki nchi yetu ifike huko, itaikadi za chama zisigawe nchi. Nasema Membe aitwe aelezwe aache atatuleuea shida. Unaona reaction ya watu kama.wewe wanakimbia kusema silaha hiyo hapana ndugu yangu italeta shida tutaharibu kila kitu na hakuna atakaeshinde.
 
Sote tunafahamu kuwa Membe ameshafukuzwa uanachama ndani ya Chama cha Mapinduzi CCM, sasa anaposema atachukua fomu kesho jumatatu ana maana gani kama sio vurugu?

Mbowe (Mwenyekiti) na Tundu Lissu na sasa Magufuli (Mwenyekiti) na Membe je vyama vitabaki salama? Ni mchuano kati ya Wababe na Wahanga wa tawala zao!

Nawapongeza Membe na Lissu kwa kuamua kuwa wa kwanza kufunga paka kengele kwenye vyama vyao. Hiyo ndio demokrasia tunayoitaka wakati mwingine. Tushindane kwa hoja.

Swali langu ni Katibu Mkuu wa CCM atampa Membe fomu wakati sio mwanachama wa CCM? Na akimnyima je itakuwaje mbele ya vyombo vya habari?

Kesho pakuche haraka!

Tahadhari! Membe akichukua fomu kibarua cha Makonda kitakuwa hatarini kama wenzie Nape, Gambo n.k

 
Wame edit, epuka kusambaza hiyo picha whatsapp utaishia pabaya. Membe anajiandalia njia 2025. Baada ya hili tukio atajitokeza kuomba msamaha asamehewe, atalia sana na kupiga magoti.
Hawezi omba msamaha hata iweje
 
Anasema tunalindwa na Katiba na sio Utamaduni sasa lakini mwenyekiti Wetu angemaliza hii miaka 5 kwanza halafu kachero aje 2025.
 
Huo urais aende akagombee chadema au ACT lakini sio CCM na haita kuja itokee membe awe rais wa tanzania ,hana vigezo wala hata nusu ya kumfikia Dr. Magufuli hakuna wa kumpinga magufuli ndani ya CCM. Over.
subilieni muone maajabu ccm ina wenyewe meko alikaribishwa tu akaleta kiburi wenye chama wanenda chukua nafasi zao
 
Membe hajafukuzwa CCM hayo ni mamneno tu ya mitandaoni maana mpaka sasa hajapokea barua ya kufukuzwa chamani hivyo bado ni mwanachama halali,
sasa kama hujui ndo utajua kua CCM inawenyewe ulishaona mwenyekiti anakatwa?

sasa subiri utajua nini maana ya wanamtandao na hautaamini kinachotokea
 
Unafiki hamjawahi kumwacha mtu salama! Alipo Kuwa ccm, katiba ilikuwaje huru, amehamia huko ndo anahaha na katiba! Hajitambui huyu!
 
Membe hajafukuzwa CCM hayo ni mamneno tu ya mitandaoni maana mpaka sasa hajapokea barua ya kufukuzwa chamani hivyo bado ni mwanachama halali,
sasa kama hujui ndo utajua kua CCM inawenyewe ulishaona mwenyekiti anakatwa?

sasa subiri utajua nini maana ya wanamtandao na hautaamini kinachotokea
Ccm mafisadi imesha ondoka tanzania imebaki ccm makini chini ya mwenyekiti makiti makini na shupavu Dr. John pombe magufuli.
 
Duuh huu mkanda mtamu saaan hii 2020 tutajionea mengi saan wakuu tujiandae kisaikolojia
 
Back
Top Bottom