]Ni mfumo bibie, CCM ina mizizi, Membe mwenyewe kanywa maji ya chama anajua nguvu zake
Shida ni hatutaki shida kwa sasa tumevuka hiyo hatua ya mafujofujo yaliyobatizwa jina demokrasia]
Basi mruhusu demokrasia achukue fomu ili akajipime na Mtukufu na KUNOGESHA uchaguzi, shida ni nini wana CCM wenzangu?
kumbe angekuwa raisi angefaidi na hii corona, asingeitisha uchaguzi kudadadeki..Membe anasema:
Nimetafakari wito wa Watanzania. Mchakato wa Uchaguzi ulipoanza sikuamini tungefanya uchaguzi kutokana na hali ya Corona. Nilitarajia ungefanywa uchambuzi mkubwa sana kabla ya kuamua kuingia kwenye uchaguzi katika mazingira haya.
Nilihoji, tunaweza kwenda kwenye Uchaguzi bila Tume Huru ya Uchaguzi? Jibu likawa – tuwe na Tume Huru. Lakini, safari hii Waangalizi wa Uchaguzi wa Kimataifa hawatakuwepo. Je, tuko tayari kuwa na Uchaguzi usio na waangalizi wa Kimataifa?
Kuhusu kugombea ndani ya CCM:
Tumefikia uamuzi kuwa sisi hatujamkosea mtu, hatujawa wahalifu, na hatuna uoga na tunajiamini. Tunayo haki kabisa ya kugombea Urais kwakuwa tunalindwa na Katiba na si utamaduni. Tunamheshimu Mwenyekiti na tunaiheshimu Kamati Kuu. Walichokisema kilikuwa ni mapendekezo na yatafanyiwa kazi na Halmashauri Kuu ya Taifa ambayo itafanyika mwezi Julai. Chombo kinachotoa adhabu ndani ya CCM ni Halmashauri Kuu ya Taifa; bahati mbaya Kamati Kuu wao walitamka kuwa “Membe tumemfukuza” na hawana mamlaka hayo.
Kamati Kuu ya CCM inaweza ikakataa, ikasema tulichoamua – tumeamua… Inaweza kabisa ikakataa! Ikikataa, sitoweza kwenda Dodoma kuchukua fomu. Kunikataa mimi kugombea ndani ya CCM, Uchaguzi haunogi. Mimi sitakwenda Dodoma mpaka Kamati Kuu itakaponiambia kuwa nipo huru kufanya hivyo, siko tayari kuingia kwenye mtego. Lazima tupate ridhaa!
Nisipopata ridhaa, tunakitakia chama chetu kila la heri. Uchaguzi ni Oktoba, sasa ni Juni… Chochote kinaweza kutokea hapa katikati. Nawaomba vijana tulieni, msilete ghasia zozote. Hatujui Mungu alichotupangia, tusitoe hukumu mapema! Tuwe na imani, yote tumwachie Mwenyezi Mungu.
Video hii hapa:
View attachment 1484912
Dkt Magufuli anatosha kabisa. Mzee Membe asubiri tu.]
Basi mruhusu demokrasia achukue fomu ili akajipime na Mtukufu na KUNOGESHA uchaguzi, shida ni nini wana CCM wenzangu?
Utamaduni Wetu ni kuachiana miaka 5 hata Trump hutaona mtu wa Republican akimpingandivyo katiba inavyosema?
Kaongea vizuri...Membe anasema:
Nimetafakari wito wa Watanzania. Mchakato wa Uchaguzi ulipoanza sikuamini tungefanya uchaguzi kutokana na hali ya Corona. Nilitarajia ungefanywa uchambuzi mkubwa sana kabla ya kuamua kuingia kwenye uchaguzi katika mazingira haya.
Nilihoji, tunaweza kwenda kwenye Uchaguzi bila Tume Huru ya Uchaguzi? Jibu likawa – tuwe na Tume Huru. Lakini, safari hii Waangalizi wa Uchaguzi wa Kimataifa hawatakuwepo. Je, tuko tayari kuwa na Uchaguzi usio na waangalizi wa Kimataifa?
Kuhusu kugombea ndani ya CCM:
Tumefikia uamuzi kuwa sisi hatujamkosea mtu, hatujawa wahalifu, na hatuna uoga na tunajiamini. Tunayo haki kabisa ya kugombea Urais kwakuwa tunalindwa na Katiba na si utamaduni. Tunamheshimu Mwenyekiti na tunaiheshimu Kamati Kuu. Walichokisema kilikuwa ni mapendekezo na yatafanyiwa kazi na Halmashauri Kuu ya Taifa ambayo itafanyika mwezi Julai. Chombo kinachotoa adhabu ndani ya CCM ni Halmashauri Kuu ya Taifa; bahati mbaya Kamati Kuu wao walitamka kuwa “Membe tumemfukuza” na hawana mamlaka hayo.
Kamati Kuu ya CCM inaweza ikakataa, ikasema tulichoamua – tumeamua… Inaweza kabisa ikakataa! Ikikataa, sitoweza kwenda Dodoma kuchukua fomu. Kunikataa mimi kugombea ndani ya CCM, Uchaguzi haunogi. Mimi sitakwenda Dodoma mpaka Kamati Kuu itakaponiambia kuwa nipo huru kufanya hivyo, siko tayari kuingia kwenye mtego. Lazima tupate ridhaa!
Nisipopata ridhaa, tunakitakia chama chetu kila la heri. Uchaguzi ni Oktoba, sasa ni Juni… Chochote kinaweza kutokea hapa katikati. Nawaomba vijana tulieni, msilete ghasia zozote. Hatujui Mungu alichotupangia, tusitoe hukumu mapema! Tuwe na imani, yote tumwachie Mwenyezi Mungu.
Video hii hapa:
View attachment 1484912
Kasema kati ya juni na oktoba chochocte chaweza tokea, namuona ACT....changamoto inakuja act wamesema wanaungana na chadema, je chadema watakubali membe awe mpeperusha bendera? Jibu: hii ni karata ya chadema kumsimamisha membe kwa kivuli cha act, waonekane sio wao waliomchukua membe na kuonekana wamerudia kosa lile lile la lowasa....chadema hawasimamishi mtu uchaguzi huu bali watamuunga mkono membe wa act...Anachukua kwa chama kipi?
mission impossible.Nawaomba wafuasi wa chadema na viongozi wenu , msitulazimishe kumchagua Magufuli ili muje muingie ikulu bila nguvu.
Sisi tunamtaka Membe ili tuje tuwape kichapo kitakatifu.
Membe ni yeye 2020-2025
Mkuu si vizuri kumzushia kikwete,Membe anafanya kwa maslai na utashi wake binafsi,embu mwacheni huyu mzee apumzike kwanza kila kitu kikwete jamani,this is to much, tujaribu kubalance shobo maana kikwete amekuwa ndo jalala kila aina ya uchafu anatupiwa yeye.Ofisi gani intampa hizo fomu, Kama anatumwa na K. Kikwete na wanamtandao aende chama chochote maana jumatatu fomu hapewi ofisi yoyote ya CCM, na ajiandae kweli kweli anaemtuma kachelewa angempa urais 2015, watu wa pwani walijiaminisha ccm washaimiliki sasa ndio basi na ccm hamtaikamata tena. Aanzishe vita bwege huyu tutamfuata huko aliko na AK47 tumevumilia sasa basi, ruhusa inachelewa sana, moto auwashe hio wiki ijayo. Hio corona ya Bibi zake.
Membe anataka kupotea mazimaNawaomba wafuasi wa chadema na viongozi wenu , msitulazimishe kumchagua Magufuli ili muje muingie ikulu bila nguvu.
Sisi tunamtaka Membe ili tuje tuwape kichapo kitakatifu.
Membe ni yeye 2020-2025
Fomu ziliisha kitambo labda fomu za CUFTwende Membe,kesho jumatatu kasema anachukua fomu