Uchaguzi 2020 Membe: Kamati Kuu haina mamlaka ya kunifukuza Uanachama wa CCM bali Halmashauri Kuu ya Taifa. Asema kati ya Juni na Oktoba chochote kinaweza tokea

Uchaguzi 2020 Membe: Kamati Kuu haina mamlaka ya kunifukuza Uanachama wa CCM bali Halmashauri Kuu ya Taifa. Asema kati ya Juni na Oktoba chochote kinaweza tokea

Ni mfumo bibie, CCM ina mizizi, Membe mwenyewe kanywa maji ya chama anajua nguvu zake
]
Basi mruhusu demokrasia achukue fomu ili akajipime na Mtukufu na KUNOGESHA uchaguzi, shida ni nini wana CCM wenzangu?
 
I don't trust this man, siku zote usije ukamwamini askari au mtu yoyote wa vyombo vya usalama, unaweza fanya nae deal kumbe mwenzio yupo kazini. Nina uhakika kabisa huyu jamaa most of his life ametumia akiwa ndani ya idara maana kaajiliwa akiwa bado kijana mdogo sana. Anachokifanya ni kutengeneza propaganda ili aweze kujipenyeze upinzani na nina uhakika baada ya uchaguzi yatajitokeza kama ya kina Lowasa na Sumaye kurudi ndani ya chama. Vyama vikuu vya upinzani wakitaka kuaribu uchaguzi huu wamuweke huyu mtu najua ni ngumu wapinzani kushinda uraisi ila anachoenda kufanya ni kupunguza munkari wa wananchi kuweza kuleta machafuko baada ya kuona wametendewa ndivyo sivyo au kuvuluga uchaguzi na kutoa mipango ya chama kwa vyombo vya dola na kuweza kuwabana mapema kama ilivyotokea kwa kuvamiwa kwa kituo cha chadema cha kuhesabu kura. Jiulize kwanini kwa bara walifanikiwa kukikamata kituo na watendaji lakini Zanzibar hawakufanya ivyo?
 
]
Basi mruhusu demokrasia achukue fomu ili akajipime na Mtukufu na KUNOGESHA uchaguzi, shida ni nini wana CCM wenzangu?
Shida ni hatutaki shida kwa sasa tumevuka hiyo hatua ya mafujofujo yaliyobatizwa jina demokrasia
 
Membe anasema:

Nimetafakari wito wa Watanzania. Mchakato wa Uchaguzi ulipoanza sikuamini tungefanya uchaguzi kutokana na hali ya Corona. Nilitarajia ungefanywa uchambuzi mkubwa sana kabla ya kuamua kuingia kwenye uchaguzi katika mazingira haya.

Nilihoji, tunaweza kwenda kwenye Uchaguzi bila Tume Huru ya Uchaguzi? Jibu likawa – tuwe na Tume Huru. Lakini, safari hii Waangalizi wa Uchaguzi wa Kimataifa hawatakuwepo. Je, tuko tayari kuwa na Uchaguzi usio na waangalizi wa Kimataifa?

Kuhusu kugombea ndani ya CCM:

Tumefikia uamuzi kuwa sisi hatujamkosea mtu, hatujawa wahalifu, na hatuna uoga na tunajiamini. Tunayo haki kabisa ya kugombea Urais kwakuwa tunalindwa na Katiba na si utamaduni. Tunamheshimu Mwenyekiti na tunaiheshimu Kamati Kuu. Walichokisema kilikuwa ni mapendekezo na yatafanyiwa kazi na Halmashauri Kuu ya Taifa ambayo itafanyika mwezi Julai. Chombo kinachotoa adhabu ndani ya CCM ni Halmashauri Kuu ya Taifa; bahati mbaya Kamati Kuu wao walitamka kuwa “Membe tumemfukuza” na hawana mamlaka hayo.

Kamati Kuu ya CCM inaweza ikakataa, ikasema tulichoamua – tumeamua… Inaweza kabisa ikakataa! Ikikataa, sitoweza kwenda Dodoma kuchukua fomu. Kunikataa mimi kugombea ndani ya CCM, Uchaguzi haunogi. Mimi sitakwenda Dodoma mpaka Kamati Kuu itakaponiambia kuwa nipo huru kufanya hivyo, siko tayari kuingia kwenye mtego. Lazima tupate ridhaa!

Nisipopata ridhaa, tunakitakia chama chetu kila la heri. Uchaguzi ni Oktoba, sasa ni Juni… Chochote kinaweza kutokea hapa katikati. Nawaomba vijana tulieni, msilete ghasia zozote. Hatujui Mungu alichotupangia, tusitoe hukumu mapema! Tuwe na imani, yote tumwachie Mwenyezi Mungu.

Video hii hapa:

View attachment 1484912
kumbe angekuwa raisi angefaidi na hii corona, asingeitisha uchaguzi kudadadeki..
 
]
Basi mruhusu demokrasia achukue fomu ili akajipime na Mtukufu na KUNOGESHA uchaguzi, shida ni nini wana CCM wenzangu?
Dkt Magufuli anatosha kabisa. Mzee Membe asubiri tu.
 
Huo ndio uanaume..... Sometimes unatakiwa kupigania unachokitaka... Regardless ya matokeo yatakuwaje.
 
Membe anasema:

Nimetafakari wito wa Watanzania. Mchakato wa Uchaguzi ulipoanza sikuamini tungefanya uchaguzi kutokana na hali ya Corona. Nilitarajia ungefanywa uchambuzi mkubwa sana kabla ya kuamua kuingia kwenye uchaguzi katika mazingira haya.

Nilihoji, tunaweza kwenda kwenye Uchaguzi bila Tume Huru ya Uchaguzi? Jibu likawa – tuwe na Tume Huru. Lakini, safari hii Waangalizi wa Uchaguzi wa Kimataifa hawatakuwepo. Je, tuko tayari kuwa na Uchaguzi usio na waangalizi wa Kimataifa?

Kuhusu kugombea ndani ya CCM:

Tumefikia uamuzi kuwa sisi hatujamkosea mtu, hatujawa wahalifu, na hatuna uoga na tunajiamini. Tunayo haki kabisa ya kugombea Urais kwakuwa tunalindwa na Katiba na si utamaduni. Tunamheshimu Mwenyekiti na tunaiheshimu Kamati Kuu. Walichokisema kilikuwa ni mapendekezo na yatafanyiwa kazi na Halmashauri Kuu ya Taifa ambayo itafanyika mwezi Julai. Chombo kinachotoa adhabu ndani ya CCM ni Halmashauri Kuu ya Taifa; bahati mbaya Kamati Kuu wao walitamka kuwa “Membe tumemfukuza” na hawana mamlaka hayo.

Kamati Kuu ya CCM inaweza ikakataa, ikasema tulichoamua – tumeamua… Inaweza kabisa ikakataa! Ikikataa, sitoweza kwenda Dodoma kuchukua fomu. Kunikataa mimi kugombea ndani ya CCM, Uchaguzi haunogi. Mimi sitakwenda Dodoma mpaka Kamati Kuu itakaponiambia kuwa nipo huru kufanya hivyo, siko tayari kuingia kwenye mtego. Lazima tupate ridhaa!

Nisipopata ridhaa, tunakitakia chama chetu kila la heri. Uchaguzi ni Oktoba, sasa ni Juni… Chochote kinaweza kutokea hapa katikati. Nawaomba vijana tulieni, msilete ghasia zozote. Hatujui Mungu alichotupangia, tusitoe hukumu mapema! Tuwe na imani, yote tumwachie Mwenyezi Mungu.

Video hii hapa:

View attachment 1484912
Kaongea vizuri...
Ila kaongea pia kimafumbo kuwa hagombei sababu anajua kati ya leo au kesho au hata wiki hii hamna mjumbe wa halmashauri kuu atakayesema ruksa kwake kuchukua form...
 
Kwann form iwe moja? Wanahofia nn?hii ni nchi ya kidemokrasia mwageni form watu wapimane ,kama unapendwa utapendwa tu ,kama hupendwi hupendwi tuu

Sent from my TECNO CF7 using JamiiForums mobile app
 
Nawaomba wafuasi wa chadema na viongozi wenu , msitulazimishe kumchagua Magufuli ili muje muingie ikulu bila nguvu.

Sisi tunamtaka Membe ili tuje tuwape kichapo kitakatifu.

Membe ni yeye 2020-2025
 
Anachukua kwa chama kipi?
Kasema kati ya juni na oktoba chochocte chaweza tokea, namuona ACT....changamoto inakuja act wamesema wanaungana na chadema, je chadema watakubali membe awe mpeperusha bendera? Jibu: hii ni karata ya chadema kumsimamisha membe kwa kivuli cha act, waonekane sio wao waliomchukua membe na kuonekana wamerudia kosa lile lile la lowasa....chadema hawasimamishi mtu uchaguzi huu bali watamuunga mkono membe wa act...

Angalizo kwa sisiemu: huyu jamaa akiingia kugombea urais, kuna manouvre makali atafanya na kina januari kwenye votes...
Ifanyike juhudi zozote asichukue form ktk chama chochote, kwa kifupi asigombee! Sio kwamba ana nguvu ya kupendwa, la hasha, JPM anakubalika zaidi kwa wananchi, uwanja ukiwa fair, jpm anashinda dhidi ya membe saa tatu asubuhi, ila link kali aliyonayo membe ya kucheza na votes ndio threat, ana link na vijana wa it mpaka wa nje na bado ana vijana kawaacha tiss...
 
Bashiru sisi vijana wa UVCCM tuna kuheshimu sana ukitaka tukuvunjie heshima Ole wako kesho usimpe Membe fomu nakwambia hatutakuacha salama.
2020 MEMBE. Utake usitake fomu utatoa.
 
Nawaomba wafuasi wa chadema na viongozi wenu , msitulazimishe kumchagua Magufuli ili muje muingie ikulu bila nguvu.

Sisi tunamtaka Membe ili tuje tuwape kichapo kitakatifu.

Membe ni yeye 2020-2025
mission impossible.
 
Ofisi gani intampa hizo fomu, Kama anatumwa na K. Kikwete na wanamtandao aende chama chochote maana jumatatu fomu hapewi ofisi yoyote ya CCM, na ajiandae kweli kweli anaemtuma kachelewa angempa urais 2015, watu wa pwani walijiaminisha ccm washaimiliki sasa ndio basi na ccm hamtaikamata tena. Aanzishe vita bwege huyu tutamfuata huko aliko na AK47 tumevumilia sasa basi, ruhusa inachelewa sana, moto auwashe hio wiki ijayo. Hio corona ya Bibi zake.
Mkuu si vizuri kumzushia kikwete,Membe anafanya kwa maslai na utashi wake binafsi,embu mwacheni huyu mzee apumzike kwanza kila kitu kikwete jamani,this is to much, tujaribu kubalance shobo maana kikwete amekuwa ndo jalala kila aina ya uchafu anatupiwa yeye.

Kama membe anajihisi bado ni mwanachama hai wa ccm ni haki yake maana kikatiba kupitia ccm ina mruhusu kufanya kuwa na haki ya kuchukua fomu ili kupima ubavu na bwana Maduhu(jpm).

Membe chukua fomu wanamageuzi tupo nyako,na pindi utakapo tangaza uzamini tutakuchangia kwa hali na mali...CCM sio chama cha mabavu kama tunavoaminishwa na bwana MADUHU SHIJA.
 
Alipokua madarakani hakuwaza tume huru ,ila kwa wenzake imekuwa nongwa
 
Back
Top Bottom