Uchaguzi 2020 Membe: Kamati Kuu haina mamlaka ya kunifukuza Uanachama wa CCM bali Halmashauri Kuu ya Taifa. Asema kati ya Juni na Oktoba chochote kinaweza tokea

Uchaguzi 2020 Membe: Kamati Kuu haina mamlaka ya kunifukuza Uanachama wa CCM bali Halmashauri Kuu ya Taifa. Asema kati ya Juni na Oktoba chochote kinaweza tokea

Naona wajinga wapo tu hapa wanajifariji eti membe agombee urais labda kwa chama kingine na uzuri ni kwamba hajasema atachukua fomu kwa tiketi ya chama gani
Anachukua kwa tiketi ya ccm maana ni mwanachama wa ccm tena mwanacha hai hadi 2045
 
Wanabodi,

Benard Membe amesema bado anajishauri kama agombee kumpinga Magufuli sio ili ashinde uchaguzi bali kuunogesha tuu uchaguzi.

Trend hii imepatikana kwa kumsikiliza Membe kwa kutumia analytical listening in between the words, na kubaini kitu kilicho moyoni kwa msemaji japo hajakizungumza expressly but impliedly kupitia matamshi yake.

Time will tell.

Nawatakia Jumapili Njema.

P
 
Huo urais aende akagombee chadema au ACT lakini sio CCM na haita kuja itokee membe awe rais wa tanzania ,hana vigezo wala hata nusu ya kumfikia Dr. Magufuli hakuna wa kumpinga magufuli ndani ya CCM. Over.
Wapo wengi tu, wanaogopa tu kushughulikiwa.
 
Sote tunafahamu kuwa Membe ameshafukuzwa uanachama ndani ya Chama cha Mapinduzi CCM, sasa anaposema atachukua fomu kesho jumatatu ana maana gani kama sio vurugu?

Mbowe (Mwenyekiti) na Tundu Lissu na sasa Magufuli (Mwenyekiti) na Membe je vyama vitabaki salama? Ni mchuano kati ya Wababe na Wahanga wa tawala zao!

Nawapongeza Membe na Lissu kwa kuamua kuwa wa kwanza kufunga paka kengele kwenye vyama vyao. Hiyo ndio demokrasia tunayoitaka wakati mwingine. Tushindane kwa hoja.

Swali langu ni Katibu Mkuu wa CCM atampa Membe fomu wakati sio mwanachama wa CCM? Na akimnyima je itakuwaje mbele ya vyombo vya habari?

Kesho pakuche haraka!

Tahadhari! Membe akichukua fomu kibarua cha Makonda kitakuwa hatarini kama wenzie Nape, Gambo n.k

View attachment 1484856
Wote na nani wewe huko CCM anakujua nani wameshakupotezea na tuhuma zako za wizi . Waache wenye chama chao wafanye yao
 
Wanabodi,
Nimeisikiliza hii video clip hii

Benard Membe amesema bado anajishauri kama agombee kumpinga Magufuli sio ili ashinde uchaguzi bali kuunogesha tuu uchaguzi.

Nawatakia Jumapili Njema.
P
Ok

Nothing for nothing, Value for value
Hivi Unawezaje kupoteza muda kwenye kitu ambacho hakina faida au kuingiza pesa

Kuna watu bado mnashiriki kupiga kura? Ni faida gani mnayopata ukishapiga kura

Hasara ni kubwa zaidi ukipigwa kura, Muda unapoteza ambao ungeutumia kufurahi na familia

Ni Kheri mumuachie mfalme aweke watu wake maana tayari wapo

Kila jimbo tayari kuna mshindi na asilimia zake,

Msijitafutie presha ya mawazo ya kujitakia

Kila mtu apambane na hali yake, Usisubiri mwana siasa akupangie mpaka muda wa kuoga na kuamka

Mambo mengine Yapasa watu kujiongeza, Fanyeni mambo yanayowaingizia pesa
 
Wanamtandao walimtesa Mkapa, kwa Magufuli watajamba, wajiandae vita Ni vita mpaka kwenye nyumba zao tutaingia upuuzi mwisho ilikuwa 2005 msahau kbsa
Tulieni muone miujiza kikwete hajawahi shindwa kamwe hajawahi shindwa kaa ujue
 
Back
Top Bottom