kantasundwa
JF-Expert Member
- May 25, 2020
- 1,548
- 2,384
Kwnn asipewe?? Atapewa tu maana ni mwanaccm tena haiMembe hawezi kupewa form CCM. WALA ASIPOTEZE MUDA.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kwnn asipewe?? Atapewa tu maana ni mwanaccm tena haiMembe hawezi kupewa form CCM. WALA ASIPOTEZE MUDA.
Hakuna ufisadi wowote ni maneno ya wasio mtakia mema Mh. Rais.na wale mafisadi wa 1.5 Trillion walitokea wapi?
Chama chake CCM.Anachukua kwa chama kipi?
Anachukua kwa tiketi ya ccm maana ni mwanachama wa ccm tena mwanacha hai hadi 2045Naona wajinga wapo tu hapa wanajifariji eti membe agombee urais labda kwa chama kingine na uzuri ni kwamba hajasema atachukua fomu kwa tiketi ya chama gani
Kumekuchaaaaaa Nasema kumekuchaaaaaa! Haya sasa, wana ccm wa kweli wanaitaka CCM yaoWerawera wera wera wera wera wera wera wape salaaaaam wale mataga
Wapo wengi tu, wanaogopa tu kushughulikiwa.Huo urais aende akagombee chadema au ACT lakini sio CCM na haita kuja itokee membe awe rais wa tanzania ,hana vigezo wala hata nusu ya kumfikia Dr. Magufuli hakuna wa kumpinga magufuli ndani ya CCM. Over.
Demokrasia ya CCM ina mambo sanaHahahahaaaa toeni ndoto zenu za alinacha hizo apitishwe na nani hata fomu yenyewe akipewa basi aende akatambike, membe sio mwanachama wa CCM hana hadhi ya kuchukua fomu
Wote na nani wewe huko CCM anakujua nani wameshakupotezea na tuhuma zako za wizi . Waache wenye chama chao wafanye yaoSote tunafahamu kuwa Membe ameshafukuzwa uanachama ndani ya Chama cha Mapinduzi CCM, sasa anaposema atachukua fomu kesho jumatatu ana maana gani kama sio vurugu?
Mbowe (Mwenyekiti) na Tundu Lissu na sasa Magufuli (Mwenyekiti) na Membe je vyama vitabaki salama? Ni mchuano kati ya Wababe na Wahanga wa tawala zao!
Nawapongeza Membe na Lissu kwa kuamua kuwa wa kwanza kufunga paka kengele kwenye vyama vyao. Hiyo ndio demokrasia tunayoitaka wakati mwingine. Tushindane kwa hoja.
Swali langu ni Katibu Mkuu wa CCM atampa Membe fomu wakati sio mwanachama wa CCM? Na akimnyima je itakuwaje mbele ya vyombo vya habari?
Kesho pakuche haraka!
Tahadhari! Membe akichukua fomu kibarua cha Makonda kitakuwa hatarini kama wenzie Nape, Gambo n.k
View attachment 1484856
Hawa jamaa watakufa kwa preshaNaona leo maccm hata chai kwao wanaiona kama shubiri
OkWanabodi,
Nimeisikiliza hii video clip hii
Benard Membe amesema bado anajishauri kama agombee kumpinga Magufuli sio ili ashinde uchaguzi bali kuunogesha tuu uchaguzi.
Nawatakia Jumapili Njema.
P
Kbsa mkuu [emoji23]Hawa jamaa watakufa kwa presha
Tulieni muone miujiza kikwete hajawahi shindwa kamwe hajawahi shindwa kaa ujueWanamtandao walimtesa Mkapa, kwa Magufuli watajamba, wajiandae vita Ni vita mpaka kwenye nyumba zao tutaingia upuuzi mwisho ilikuwa 2005 msahau kbsa