Uchaguzi 2020 Membe: Kuhusu suala la urais hilo halina mjadala, nitajitosa na nitashinda

Mkuu!

The nigga is shitting on himself shitlessly!
 
kama ubunge watu watajitosa kugombea sioni tatzo yeye akifanya hivyo kwenye urais
 
Ikitokea akaingia kwenye mnyang'anyiro, kwa nguvu zangu zote na uwezo wowote nilionao nitamuunga mkono MAGUFULI.

Membe hastahili hata chembe kuwa Raisi wa Tanzania. Mimi ni kiumbe naweza kuwa nafanya kosa, but he is not a choice at all.
 
Mipango ilikuwepo tangu awamu ya kwanza. Tatizo unampigia chapuo mtu dhaifu kwa nafasi ya uraisi ili muendelee kutafuna nchi kirahisi zaidi.

JPM anatekeleza majukumu yaliyowashinda wengi hivyo ukiwa muathirika wa kukatiwa mrija lazima umpinge na hilo hatushangai.

Tukutane 2020
Miundombinu inajengwa kwa kodi za wananchi na sio hisani au mshahara wa rais. Hivyo miundombinu itajengwa na yoyote hata kama nchi itakuwa haina rais kwani mipango ya nchi ipo tayari.
 
Aliyekuwepo huko nyuma alijenga miundo mbinu IPI?? Huyo hawezi kuwa rais hata kwa mtutu was bunduki!!
Muulize huyo jiwe wako alipokuwa waziri alikuwa anasimamia nini? Acha uzwazwa.
 
Wakimfukuza ndio itakuwa vizuri ili mkose pa kujifichia pale mnaposema ccm kuna demokrasia, na mkimuacha mmemuogopa.

CCM kuna demokrasia ambapo wanachama wanajadili mambo yao kwa uwazi kwenye vikao halali vya Chama. Hiyo demokrasia ya kujificha na kuanza kufanya mipango ya uhaini si demokrasia bali domogasia
 
Pitia post zangu, kuna mahali nimesema wazi sitegemei Membe kuwa rais mzuri, ila hata huyu sio mzuri pia. Tunachompinga huyu ni kutaka kutuongoza kama wake zake, tulishatoka kwenye dunia ya kumsujudia na kumuhofia kiongozi. Sijawahi kunufaika binafsi na chochote cha serikali, bali siko tayari kuongozwa kikondoo eti kisa kuna ujenzi wa reli. Kama reli, barabara nk ndio kigezo cha kumsujudu kiongozi, ni kipi kilitufanya tuwatoe wakoloni, au kupeleka nguvu Africa kusini kudai uhuru wa weusi?
 
CCM kuna demokrasia ambapo wanachama wanajadili mambo yao kwa uwazi kwenye vikao halali vya Chama. Hiyo demokrasia ya kujificha na kuanza kufanya mipango ya uhaini si demokrasia bali domogasia

Usiwe mjinga, kinachojadiliwa kwenye vikao rasmi na halali ni matokeo ya mikakati. Lakini mikakati inafanyika nje ya vyumba vya mikutano. Toka nje ya box usigeuzwe zoba na wadhaifu wa ushindani.
 
Labda urais wa YANGA
Kams alishindwa lowassa,alikua na NEC yote,na asilimia 90 ya wajumbe wa mkutano mkuu itakua kikaragosi membe?
Membe ni sawa na joka la mdimuni
Leo Membe kawa kikaragosi wakati juzi nyie hao hao mlikuwa mnasema ni jembe bobezi la chama, kwa tabia hizi za wanaCCM si ajabu huko mbeleni Magufuli mkamuita kikaragosi.
 
Usiwe mjinga, kinachojadiliwa kwenye vikao rasmi na halali ni matokeo ya mikakati. Lakini mikakati inafanyika nje ya vyumba vya mikutano. Toka nje ya box usigeuzwe zoba na wadhaifu wa ushindani.
Mkakati wake wa kipuuzi sana huo.
 
Leo Membe kawa kikaragosi wakati juzi nyie hao hao mlikuwa mnasema ni jembe bobezi la chama, kwa tabia hizi za wanaCCM si ajabu huko mbeleni Magufuli mkamuita kikaragosi.
Kwa wanasiasa ni jambo la kawaida
Hata wewe zipo nyuzi zako humu unawsshabikia slaa,zitto na kitila,nina uhakika ukikutana nao leo unaweza hata kuwatemea mate
 
Usiwe mjinga, kinachojadiliwa kwenye vikao rasmi na halali ni matokeo ya mikakati. Lakini mikakati inafanyika nje ya vyumba vya mikutano. Toka nje ya box usigeuzwe zoba na wadhaifu wa ushindani.

Wenzie wanafanya makakati wa kumfuta uanachama ajipange tu kwenda kwa akina Zitto
 
Alishashindwa 2015,huyu atakuja Chadema kuwazungusha vichwa badala ya mikono
 
Wenzie wanafanya makakati wa kumfuta uanachama ajipange tu kwenda kwa akina Zitto

Sintoshangaa maana hao wanaopanga kumfuta ni hao ninaokuambia hawawezi ushindani.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…