Uchaguzi 2020 Membe: Mimi nilitafuta wadhamini kimya kimya kukwepa mtego wa kuvunja kanuni na kuanza kampeni mapema

Lissu kaisha wazidi akili hata ACT wakiungana na ccm Lissu atawashinda kwasababu Lissu anafanya sisasa za kidigital zinaendana wakati uliopo kaisha test mitambo iko sawa ccm na ACT bado wanamawazo ya miaka ya 60 wanapingana na wakati
 
Huyu si mpinzani bali ana kazi maalumu ndani ya upinzani.
 
Kwa hiyo Membe anataka kusemaje?

Kwamba kuna vyama vimeteleza kwa kutotafuta wadhamini "kimya kimya" kama wao?!
Mmeanza kuwehuka eeeh?

Mwambieni Mbeligiji akasome tena sheria za tume na kanuni zake
 
Kwenye majukwaa ya kampeni, pole pole,Bashiru na JPM watatumbuliwa Sana TL. Ili kuwasaidia wanatakiwa wamkodishe Nape ,ana mdomo wa kupambana na TL jukwaani
 
Jina lake lisiporudishwa,hapo ndipo mtakapoweza kutofautisha Kati ya Chama tawala na Chama Cha upinzani ni kipi.


Kweli eeh inaelekea una sana uchungu na Tundu lisu kuliko hata Mke wake wa ndoa na familia yake, lkn kwa uzoeafu wangu mimi Wanaume wengi likija kwenye swala la kuchagua upande huchagua familia zao, ona Lowasa mwishowe alichagua kumsikiliza Mke wake wa Ndoa na siyo wewe, hivyo jaribu kuwa mwangalifu kidogo kumuongela mtu ambaye humjui na wala hakujui kwamba atafanya hivi na vile hili likitokea, ...
 
Huku kwetu Kanda ya ziwa mwanawake huwa hatuwatangulizi mbele hata kuwasalimia ni baadaye
 
Huku kwetu Kanda ya ziwa mwanawake huwa hatuwatangulizi mbele hata kuwasalimia ni baadaye


Sawa, lkn jaribu tu kuwa mwangalifu kidogo kama ukiweza, usijipe umuhimu hivyo kwa Mwanaume asiyekujua na usiyemjua, na kumualia kwamba ataaamua hivi kama jambo fulani likitokea, ...
 
Huyu anajua siasa si TL mihemko.
 
Magufuli aliyekuwa anapita na kuwaambia raia wasichague Bwege wao tena haikuwa kampeni!! Wakitaka kuiweka Nchi kwenye majaribio ya 1994 kama kule kwa legend wao Basi wajaribu kumkata Lissu!!

Afu huyo Membe Hana mvuto ndio maana anapayuka, Hana nafasi angeendeshaje shughuli yakutafuta wadhamini wakati hakubali!! Mbona Zanzibar alifanya kampeni. Lissu kiboko anapiga 2/1 Kama vipi ACT waungane na ccm
 
Na kugawa maburungutu ya pesa na ahadi kemkem kwa wananchi.
Nakumbuka baada ya kuchukua form NEC alienda mbali zaidi nakutoa ahadi moja kabambe alisema atageuza Tanzania kama ulaya ndani ya miaka mitano ujue nilimshangaa sana Magu nikajiuliza maswali mengi kichwani bila majibu nikajipa moyo nikasema anyway inawezeka magu na umri huu hajui ulaya anajisemea
 
Kwani nyie mnaelewaga basi!

Mpaka mpigwe kidogo kwenye vichwa hivyo ndio mnaelewa.

Hivi unafikiri Membe na Magufuli hawakuwa na hela za kuzungukia mikoani kutafuta wadhamini?
Magufuli ni muoga, Membe tuna mipango naye. Una lingine? Kikwete pamoja na kuruhusu uhuru hakuwahi kuogopa kama Magufuli! Hakuwahi kuitisha tamasha la wasanii 240! Huo ni udhaifu mkubwa kiuongozi.
 
Unatumia Ile Mfumo wa kujua kusoma na kuandika .
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…