Uchaguzi 2020 Membe: Mimi nilitafuta wadhamini kimya kimya kukwepa mtego wa kuvunja kanuni na kuanza kampeni mapema

Ile body language yake wakati anatoa maelezo hayo imeficha mengi nyuma yake. Huyu ana lake jambo
 
mnaongea na kuchezea moto , acheni kushabikia mambo kama haya sio afya kwa taifa , na hakuna tume yakuweza kufanya upuuzi kama huu na vyombo vya ulinzi vikakubari , njia za kumshinda lissu zinaweza kuwepo ila sio hii mnayoishabikia
 
Hawa mbugila mbugila hawajui kuwa tuko bize kukusanya ushahidi
 
Kwa hip kule Zanzibar alipokusanya wale watu alikuwa kimya kimya mbona akili zingine ni za kijinga mim nasema huku bara alishindwa kkufanya maana hana ushawishi angeishia kupata Aibu tu kama haamin asubir kampen zianze ndo atajua.
 
Membe huenda ni project maalumu huko upinzani.
 
Haiwezakani risasi zote zile apone hata mimi nitapenda kumwona huyo mtu
 

Kula tano mwanangu, huyo Membe tumesema muda mrefu sio mpinzani naona Zito hajatuelewa. Membe anajua kabisa hauziki bara wala visiwani, na hata kule visiwani alitembelea nyota ya Seif, hivyo amejua akifanya hivyo huku bara atapimwa nguvu yake.

Kwanza anapaswa kujua sasa hivi aliyekaza mikutano ya siasa kinyemela kasharuhusu, hivyo Lisu amepiga 2 in 1, mikutano ya kisiasa na kusaka wadhamini hapo hapo.

Hizo lugha anazoongea ni za kujipendekeza kwa Magufuli,ili baada ya uchaguzi awe anaalikwa kwenye gafla za serikali. Nitashangaa sana kama Lisu atakatwa kisha wapinzani wampigie kura Membe.
 
Tundu Lisu anakatwa na hakuna kitu wewe au yeye mtafanya, ...

Ni kweli kabisa, hiyo ni kwakuwa Magufuli anajua hawezi kushindana na Lisu, na namna pekee ni kuhakikisha hakutani naye.
 
Mke wa JPM, na kati ya wewe je, na Mke wa Tundu Lisu nani anamjua zaidi Tundu Lisu?

Baada ya ya kushindwa hoja mnaanza matusi...

Ukweli ktk kosa la kiufundi CCM wakitaka kuharibu uchaguzi Ni kumkata huyo TL...

Tuache ushabiki wa upande mmoja zipo clip zinaonyesha CCM na Viongozi wakubwa wakimnadi mwenyekiti kila mradi unapofunguliwa au warsha za maendelea.... Wengine wakafika mbali wakasema atawale bila kikomo... Clip zipo..

Na pia mwenyekiti amejipigia Sana debe kwamba asipokuwa yeye Tena miradi itasimama...
 
Mchawi Wa Upinzani ni mpinzani mwenyewe!..Naanza kuiona Vita ya panzi ambayo kwa hakika itamfaidisha zaidi kunguru! Naanza kuamini ule uzushi kuwa Membe ni pandikizi!
 
hebu jiulize vizuri namna lisu alivyozunguka kutafuta wadhamini utapata majibu, usimuulize mtu tumia akili yako mwenyewe
 
mnaongea na kuchezea moto , acheni kushabikia mambo kama haya sio afya kwa taifa , na hakuna tume yakuweza kufanya upuuzi kama huu na vyombo vya ulinzi vikakubari , njia za kumshinda lissu zinaweza kuwepo ila sio hii mnayoishabikia
Lissu hayupo tayari kushindwa kwa namna yoyote,yupo kishari zaidi na kulipa kisasi.kwa hiyo,hata apewe kura zake ahesabu mkononi,hata kibali,nia yake ni machafuko tu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…