Uchaguzi 2020 Membe: Mimi nilitafuta wadhamini kimya kimya kukwepa mtego wa kuvunja kanuni na kuanza kampeni mapema

Mawazo ya zito siyo kuiondoa ccm madarakani bali kumzuia lisu ili membe agombeee ili ACT-WAZALENDO ijilikane zaid katika siasa za tz
 
Tarehe 28 mwezi huu, Chadema mtajua hamjui. Mkileta nyokonyoko ni mwendo wa Adam Mchomvu, Mitama tuu. Sheria haiwezi kupindishwa eti kwa kuwaogopeni ninyi. Tutawasomea kanuni, msibokubali shauri yenu.
 
Tundu Lisu anakatwa na hakuna kitu wewe au yeye mtafanya, ...
Mlisema hawezi kupona AMEPONA, Akipona hataweza kutembea ANATEMBEA, Hataweza kurudi AMERUDI, Mlisema akirudi atakamatwa HAJAKAMATWA, Mnasema atakatwa na NEC HATAKATWA, Mtasema hatashinda ATASHINDA, Akishinda hatatangazwa ATATANGAZWA, Akitangazwa hataapishwa AMEAPISHWA. Mtasemaje tena sasa.
 
Mh. Membe mchakato huu si kama zile chakato zenu za ndani ya chama chako cha zamani, mchakato huu unaedeshwa kwa sheria.

Jaji anayeheshimu taaluma.yake hawezi kufanya uhuni kuwafurahisha CCM lah hasha!!

Unaweza kuwa alikwenda kimyaa kimya kumbe ndiyo ukawa umeharibu kila kitu..yaani ukawa umekiuka sheria.

Kiongozi ni lazima ajue sheria vizuri ili kutetea haki za hao unaotaka kuwaongoza.
 
Ccm hawahitaji msaada wa yeyote ili kufanya dhuluma.Acheni kulaumu watu wasio na madhara,jipangeni.
 
Inashangaza Sana Membe badala ya kuelekeza mashambuzi CCM anaelekeza kwa Chadema ambao wapo kundi moja.

Na hii fomula wanaitumia Sana CCM wagawe Kisha watawale Sasa naona Membe kaingia kwenye mtego mazima...hii inaonyesha Wapinzani hawapo pamoja tena.
 
Nayo atuondolee ujinga hapa, mbona Zanzibar walipokelewa kwa maandamano? Kiufupi hatoshei kwa Lissu hata kidogo, ampishe Lissu apeperushe bendera ya wapinzani!
Kwa hiyo mnapambana na Membe na sio CCM tena??
 
Wakati Membe anatoa mipasho ya niguse ninuke mlimuona shujaa, leo kusema hivyo ndo kaonekana muoga?
 
Membe bwana sasa mm mapakannamuonea huruma maana anatia huruma
 
Membe sema tu ukweli kwamba hukuwa na Nyota kama ya Maalim Seif- Zanzibar na Lissu- Bara: Unataka kumaanisha mnapenda zaid bara kuliko Zanzibar ambayo inaonekana ACT wanasubiri kutangazwa?
 
Ila CHADEMA mna wivu sana.Kila mtu achese game lake.
 
Wacha undumilakuwili wewe, Membe. Kwa mantiki hiyo basi wewe ulianza kampeni tokea 2019. Na hiyo ya Zanzibar wewe na Maalim utaiita nini?

Mimi ni ACT do and die lakini nitamsupport mpinzani yoyote mwenye chance kubwa ya kuliuwa na kulifukia hili dudu CCM. Ili mkutano kuitani kampeni unatakiwa uwe ndaninya muda uliopangwa kisheria na NEC. Nje ya muda huo you can call it anything but campagin. CCM juzi uwanja wa Karume utaiita ni kampeni nayo. Hashim Rumgwe anatembea na sahani za ubwabwa nayo ni kampeni? Kwa kifupi kampeni ni mikutano ya siasa inayofanyika kwa kipindi maalumu kilichopangwa na NEC kwa wagombea kujitangaza. Siasa za.kipindi hiki si za lele mama. If you cant follow the beats please dont be on the dance floor!
 
idawa chungu kwa Membe
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…