unprejudiced
JF-Expert Member
- Jan 27, 2017
- 3,503
- 2,865
Why did they sack him off if he isn't a threat?
Tanzania is the Republic of fools
Sent using Jamii Forums mobile app
Ukiamua kukabidhi akili zako wenzako wakushikie na kukukaririsha kitu cha kufikiri na kusema una tabu tubu. Hizo fomu za uchaguzi za kuomba kuteuliwa na CCM ni nani anazitoa? Ni nani anazipokea wakati wa kurudisha?
Ni hatari kwa kweli, akihama wanakuwa makapi, wakirudi wanarudi home, ajabu. LOWASA WAKATI AMEHAMA aliitwa majina yote fisadi, mwizi, malaya wa kisiasa etc. YAANI ANAONEKA MWEMA AKIWA NDANI YA CCM PEKEEKishasema ndoto zake zipo palepale! Na alikuwa nania yakugombea, sasa km kafukuzwa aende kule wanakoendaga. Zoa Zoa
Usipaniki ndugu. Hoja tu ndo zinaweza zikashindanishwa na si hasira. KUDUKUA MAONGEZI YA MTU NI KOSA KISHERIA. Sasa unapotumia ushahidi usiokubalika kisheria kumhukumu mtu nayo ni VOID.You are the only fool that I have come to know. Eti Kwanini wamemfukuza. Wewe una tatizo na taratibu za Ndani ya chama cha wenzako. Sugu tu juzi kashukuru madiwani 11 mzigo kutoka kabla ya kuwafukuza. Umeskia watu wanalalamika. Jifunze kutokuwa na majibu yote ya maisha. Unaonekana Chura. Asiyejulikana kama kasimama au kachuchumaa.
Sent using Jamii Forums mobile app
Sheria za wapi mazee? Ona kumbe hata huelewi unachozungumzia. Ni hivi: bila Chama kumpitisha mgombea tume ya uchaguzi hawezi kwenda kuchukua fomu. Hatua ya kwanza ni kuchuukuwa fomu ya chama, upo?Fomu zinatolewa kwa mujibu wa sheria na sio kwa hisani ya kiongozi na genge lake. Na zikirudishwa pia zinapokelewa kisheria. Labda itumike hiyo mbinu ya Magufuli kama hiyo anayowaagiza wakurugenzi ya kufunga ofisi ili fomu za wapinzani zisipokelewe, ambapo mwenendo huo ni uvunjaji wa sheria.
Kawashauri CHADEMA wasifanye makosa km ya 2015!Mange kasemaje?
Niliwahi kusema huko nyuma Bernard Membe hawezi kuwa rais wa nchi hii na ni rekodi yake ya nyuma ndo inayomzuia.
Usimfananiahe Benard Membe raia dhidi ya Magufuli Rais aliyezungukwa na NEC, TPDF, Poliçe na TISS.Yeye na washabiki wake wamejiaminisha kuwa eti anaogopwa.
Anaogopwa kwa lipi hasa?
Kujipa tu umuhimu ambao hana.
Anaogopwa Sana Kama haogopwi Kwa nini necko amehangaika hivyo, tatizo mecko anaogopa hata inzi anadhani kuwa inzi inaweza kumzuia, ni mtu anaeogopa hata visivyoogopekaYeye na washabiki wake wamejiaminisha kuwa eti anaogopwa.
Anaogopwa kwa lipi hasa?
Kujipa tu umuhimu ambao hana.
Huhitaji hata cheti cha STD VII kujua kuwa Benard Membe ni tishio. Kwanza Membe kafukuzwa bila kosa na aliyemfukuza ndiyo aliyemtuhumu. Principe ya Nemo Judex In Causa Sua imevunjwa. Principle hii inakataza mtu aliye na masilahi kwenye jambo fulani kuwa muamuzi wa jambo hilo.Yeye na washabiki wake wamejiaminisha kuwa eti anaogopwa.
Anaogopwa kwa lipi hasa?
Kujipa tu umuhimu ambao hana.
Membe ni jasiri ni mtu anaogopeka, huwezi mfananisha membe na mecko, mecko muoga Sana bhana, meco atapata shida Sana 2020 watu wengne wanamwambia eti akae ikulu wamtafutie kura hahahahaha labda asitumie bunduki, Hakuna mtu mwepesi wa kupigana nae kama mtu ambae ukimshinda anamimbilia maweWatu wabaya sana, wamemponza mzee wa watu.
Angekuwa anaenjoi pensheni yake bila presha, sasa ana kazi kubwa ya kurejesha heshima yake. Watu waone hivi hivi tu.
Wewe Kama huaaamini mwambie mecko asitumie polisi halafu aingie uwanjani ataona na kushangaaaNdio Akili zenu Vibendera zinawatuma hivyo
Hongereni