Membe: Sikushangazwa kufukuzwa. Niliendelea kusimamia nia yangu kugombea Urais 2020. Mwenyekiti na Katibu wameratibu mimi kufukuzwa

Membe: Sikushangazwa kufukuzwa. Niliendelea kusimamia nia yangu kugombea Urais 2020. Mwenyekiti na Katibu wameratibu mimi kufukuzwa

Why did they sack him off if he isn't a threat?
Tanzania is the Republic of fools

Sent using Jamii Forums mobile app

You are the only fool that I have come to know. Eti Kwanini wamemfukuza. Wewe una tatizo na taratibu za Ndani ya chama cha wenzako. Sugu tu juzi kashukuru madiwani 11 mzigo kutoka kabla ya kuwafukuza. Umeskia watu wanalalamika. Jifunze kutokuwa na majibu yote ya maisha. Unaonekana Chura. Asiyejulikana kama kasimama au kachuchumaa.


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ukiamua kukabidhi akili zako wenzako wakushikie na kukukaririsha kitu cha kufikiri na kusema una tabu tubu. Hizo fomu za uchaguzi za kuomba kuteuliwa na CCM ni nani anazitoa? Ni nani anazipokea wakati wa kurudisha?

Fomu zinatolewa kwa mujibu wa sheria na sio kwa hisani ya kiongozi na genge lake. Na zikirudishwa pia zinapokelewa kisheria. Labda itumike hiyo mbinu ya Magufuli kama hiyo anayowaagiza wakurugenzi ya kufunga ofisi ili fomu za wapinzani zisipokelewe, ambapo mwenendo huo ni uvunjaji wa sheria.
 
Kishasema ndoto zake zipo palepale! Na alikuwa nania yakugombea, sasa km kafukuzwa aende kule wanakoendaga. Zoa Zoa
Ni hatari kwa kweli, akihama wanakuwa makapi, wakirudi wanarudi home, ajabu. LOWASA WAKATI AMEHAMA aliitwa majina yote fisadi, mwizi, malaya wa kisiasa etc. YAANI ANAONEKA MWEMA AKIWA NDANI YA CCM PEKEE
 
You are the only fool that I have come to know. Eti Kwanini wamemfukuza. Wewe una tatizo na taratibu za Ndani ya chama cha wenzako. Sugu tu juzi kashukuru madiwani 11 mzigo kutoka kabla ya kuwafukuza. Umeskia watu wanalalamika. Jifunze kutokuwa na majibu yote ya maisha. Unaonekana Chura. Asiyejulikana kama kasimama au kachuchumaa.


Sent using Jamii Forums mobile app
Usipaniki ndugu. Hoja tu ndo zinaweza zikashindanishwa na si hasira. KUDUKUA MAONGEZI YA MTU NI KOSA KISHERIA. Sasa unapotumia ushahidi usiokubalika kisheria kumhukumu mtu nayo ni VOID.
 
Fomu zinatolewa kwa mujibu wa sheria na sio kwa hisani ya kiongozi na genge lake. Na zikirudishwa pia zinapokelewa kisheria. Labda itumike hiyo mbinu ya Magufuli kama hiyo anayowaagiza wakurugenzi ya kufunga ofisi ili fomu za wapinzani zisipokelewe, ambapo mwenendo huo ni uvunjaji wa sheria.
Sheria za wapi mazee? Ona kumbe hata huelewi unachozungumzia. Ni hivi: bila Chama kumpitisha mgombea tume ya uchaguzi hawezi kwenda kuchukua fomu. Hatua ya kwanza ni kuchuukuwa fomu ya chama, upo?
 
Niliwahi kusema huko nyuma Bernard Membe hawezi kuwa rais wa nchi hii na ni rekodi yake ya nyuma ndo inayomzuia.

Aisee!!! Kwa Rais tuliye naye, basi, yeyote yule anaweza kuwa Rais katika nchi hii!
 
Siasa ni arts ya kutengeneza tatizo - kisha ukajifanya unalitafutia utatuzi wake. KUA UYAONE
 
Yeye na washabiki wake wamejiaminisha kuwa eti anaogopwa.

Anaogopwa kwa lipi hasa?

Kujipa tu umuhimu ambao hana.
Usimfananiahe Benard Membe raia dhidi ya Magufuli Rais aliyezungukwa na NEC, TPDF, Poliçe na TISS.

Fanya ufaninisho wa apple to apple. Toa vyombo vya dola hivyo hapo utagundua Magufuli ni mwepesi kama kafatası ya kuchambia
 
Yeye na washabiki wake wamejiaminisha kuwa eti anaogopwa.

Anaogopwa kwa lipi hasa?

Kujipa tu umuhimu ambao hana.
Anaogopwa Sana Kama haogopwi Kwa nini necko amehangaika hivyo, tatizo mecko anaogopa hata inzi anadhani kuwa inzi inaweza kumzuia, ni mtu anaeogopa hata visivyoogopeka

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Yeye na washabiki wake wamejiaminisha kuwa eti anaogopwa.

Anaogopwa kwa lipi hasa?

Kujipa tu umuhimu ambao hana.
Huhitaji hata cheti cha STD VII kujua kuwa Benard Membe ni tishio. Kwanza Membe kafukuzwa bila kosa na aliyemfukuza ndiyo aliyemtuhumu. Principe ya Nemo Judex In Causa Sua imevunjwa. Principle hii inakataza mtu aliye na masilahi kwenye jambo fulani kuwa muamuzi wa jambo hilo.

Kama Membe haogopwi angeachwa basi achukue fomu ya kugombea u-Rais halafu ikajadiliwe kwenye ile kamati ambayo ndiyo inapitisha majina. Ina maana Magufuli na Membe wote wangekuwa nije kujadiliwa. I assure you Membe angepata kura 100% na hapo ndiyo uwoga wa Magufuli kez kuwa anajuwa hata wateule wake kina Bashiru Ally, Polepole, Mangula hawamkubali. Ana-Anajua kabisa hata marais na PM wastaafu wote HAWAMKUBALI
 
Watu wabaya sana, wamemponza mzee wa watu.

Angekuwa anaenjoi pensheni yake bila presha, sasa ana kazi kubwa ya kurejesha heshima yake. Watu waone hivi hivi tu.
Membe ni jasiri ni mtu anaogopeka, huwezi mfananisha membe na mecko, mecko muoga Sana bhana, meco atapata shida Sana 2020 watu wengne wanamwambia eti akae ikulu wamtafutie kura hahahahaha labda asitumie bunduki, Hakuna mtu mwepesi wa kupigana nae kama mtu ambae ukimshinda anamimbilia mawe

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kugombea nafasi ya urais nchini Tanzania imekua kosa ,jinai na sasa ni mali binafsi.
 
Cherenganya,
Unazungumza vitu usivyovielewa! Ndio shida ya watanzania wengi!Ungeweza kuitafuta hiyo katiba ya CCM kabla ya kuja kupayuka hapa!Hakuna sehemu yoyote ambayo katiba imesema hayo uliyoandika kwenye hoja namba mbili!Mtu yeyote anaruhusiwa kugombea nafasi na kuchaguliwa kuwa mgobea urais kwa tiketi ya CCM! Shibuda aliwahi kutumia haki hiyo ya kikatiba kuchukus fomu kupitia CCM kipindi cha JK!Matokeo yake alihama hadi chama!Suala la kuendelea Rais aliyepo madarakani ni utamaduni tu ulioanza wakati wa Mwinyi,hakuna back up yoyote ya kisheria!

Na hili limefanywa makusudi na CCM,imagine kama Rais aliyeko madarakani akipigwa chini kugombea tena,hapa kwa kutumia nguvu zake anaweza kuuza mechi kwa wapinzani au anaweza kuhama hata chama na kwenda upinzani na kuhakikisha anashinda hata kwa figisu!So utamaduni huo upo ili CCM iendelee kutawala japo hawataki kuliweka kikatiba!

So Membe angeweza kuchukua fomu na akapambana ndani ya chama na Magufuli!
 
Alipoulizwa ni nani aliyempa taarifa kuhusu kuwapo kwa mpango huo alisema: “Sikiliza, mimi nina watu wangu serikalini, nina watu ndani ya chama na nina watu ndani ya usalama”.
 
Back
Top Bottom