Membe waonee huruma Hawa wake wawili wa Musiba kama umewakatalia viongozi wa dini

Humo humo mzee Membe mpaka mafi yamkabe yatoke.
 
Huu wimbo mzuri sana kwa Watawala na watu wengine kama hakina Musiba, Bashite, Sabaya, nk.

Your browser is not able to play this audio.


Nakumbuka Rais wa awamu ile alikuwa anapenda sana kuucheza ukiimbwa.

TUSIHI KWA UPENDO.
 
Membe hana pesa kaimaliza yote kwenye campaign!
Mali za musiba ndio watoto wake watatu tho[emoji3062]
Mbona Fatuma karume kakaa kimya? Maana bado anazo zake za kutosha’
 
Nasema uza mali zote haraka sana, huyu alijiona mungu mtu na sio matusi tuu, alitishia watu maisha yao na kuna walioumia kwa ajiri yake, huyu hana tofauti na Sabaya
 
Lakini wakati mwingine bora kuziacha sheria zifanye kazi yake ili watu wajifunze kuheshimu faragha za wengine.
 
Musiba ni rafikiyangu wasikunyingi sana tumetoka naye mbali ...... nipotayari kujitolea kumlea mke mdogo yule cheupe mwambie anipigie namba zangu ni zilezile
 
Alisema Tundu hakupigwa risasi [emoji24][emoji24][emoji24] sixteen bullet [emoji24][emoji24][emoji24]He survived,kama si Mungu, Tanzania na iseme Sasa, Azory,Ben,Mawazo,[emoji24][emoji24][emoji24] their absence still cry over this nation.
Maandiko yanasema Herode alitaka kumuua YESU angali mchanga, instead, he died earlier than expected [emoji1787][emoji24][emoji24][emoji24][emoji24]
 
Katika watu ninaowachukia ni Msiba. Maji ayaoge tu kwa kuwa nguo keshavua..
Funzo.; Kamwe usimtumaini mtu.
Akiondoka katika uso wa dunia cha moto utakiona kama Msiba!
Ahamie Chattle .
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…