Membe waonee huruma Hawa wake wawili wa Musiba kama umewakatalia viongozi wa dini

Membe waonee huruma Hawa wake wawili wa Musiba kama umewakatalia viongozi wa dini

Naomba niseme kwa ufupi sana, Mwera Bernard Membe ana hasira na chuki ya wazi kwa mtukanaji Ciprian Musiba. Hali hii Sasa ni Tete.

Yono anatangaza mnada wa mali za Musiba Ijumaa na wanunuzi wameshajaa ofisini kwa Yono na miongoni mwao ni waliotukanwa na Musiba. Membe amekataa ushauri wa kila kiongozi wa dini kusamehe. Binafsi simjui Membe lakini kama vile umma unamlilia Musiba?

Ushauri wangu, Dk. Bashiru Ally (SG) mstaafu mwakoe Musiba kwa yote "mema" aliyowatendea. Usimkwepe. Jana amekupigia kupitia namba 0727 2393** saa Tano asubuhi ukamjibu, "Niko kikaoni" ilhali ulikuwa Dodoma Hotel na Naibu Waziri. Jamani mambo yenu Yako uchi.

Kama Kuna wakati Sukuma Gang kumsaidia filimbi yenu Musiba ni Sasa. Kabudi, Bashiru, Kalemani, Waziri wa Sheria na Katiba uliyedhamiria kumzamisha Samia na kampuni yenu Greatwall Restaurant msaidieni mwenzenu. Membe anawazamisha.
Acha inyesheee..
 
Hata kama hajaomba, but namuona Membe kama ni mkomavu kisiasa, na Kwa heshima alivyokuwa nayo kwenye taifa hili, ni kheri angesamehe.

Maagi Mulaga (Ciprian Musiba)
Mbona ni mshamba mmoja tu ambaye hakuwa na busara wala chembe ya utu.

Kwahiyo Kachero mbobezi au my Role model, angemsamehe huyo mshamba angeheshimika zaidi .

Ni maoni yangu siyo sheria.
Wewe ni sehemu ya familia ya Musiba?
 
Naomba niseme kwa ufupi sana, Mwera Bernard Membe ana hasira na chuki ya wazi kwa mtukanaji Ciprian Musiba. Hali hii Sasa ni Tete.

Yono anatangaza mnada wa mali za Musiba Ijumaa na wanunuzi wameshajaa ofisini kwa Yono na miongoni mwao ni waliotukanwa na Musiba. Membe amekataa ushauri wa kila kiongozi wa dini kusamehe. Binafsi simjui Membe lakini kama vile umma unamlilia Musiba?

Ushauri wangu, Dk. Bashiru Ally (SG) mstaafu mwakoe Musiba kwa yote "mema" aliyowatendea. Usimkwepe. Jana amekupigia kupitia namba 0727 2393** saa Tano asubuhi ukamjibu, "Niko kikaoni" ilhali ulikuwa Dodoma Hotel na Naibu Waziri. Jamani mambo yenu Yako uchi.

Kama Kuna wakati Sukuma Gang kumsaidia filimbi yenu Musiba ni Sasa. Kabudi, Bashiru, Kalemani, Waziri wa Sheria na Katiba uliyedhamiria kumzamisha Samia na kampuni yenu Greatwall Restaurant msaidieni mwenzenu. Membe anawazamisha.
Kapicha!!!?
 
Mada na maudhui yake hayana tofauti na yale aliyoyokuwa akiyafanya Musiba. Huwezi kusahihisha uovu wowote unaodaiwa kwa uovu. Hii ni muendelezo uleule tu, kutisha waziwazi yaani watu wanatunga na kubandika mada kuvutia wasomaji waondoke na taarifa potofu za kusengenya na kuchafua watu.
 
Huyo msiba alikuwa siyo mropokaji tu, alikuwa unforgiving bullying assassin. Ame assassinate characters nyingi sana.

Akafikiri wote anaweza kuwa bully atakavyo, kapata mwamba wake. Akomeshwe tu kama Membe alivyosema, kuanzia sasa afunge mdomo kabisa.

Na hili la Membe hawezi kumaliza kulipa, mali zake zote ziuzwe, na deni linalobaki akasote jela mpaka lilipwe. Bado la Fatma Karume.

Sijuwi kama Zitto Kabwe kamsamehe au anamlia timing ya kumpeleka mahakamani.

Aongee na mama magu amlipie.
Sahii kabisa,
Musiba ashughulikiwe Bila huruma
Achonganishi aliokua anaufanya sidhn km hajaua mtu mpuuz yule
 
Walikua wapi kumshauri mwanaume wao kipindi anatukana wakulungwa .
Membe usipokee simu ngeni wala barua lolote hiki kipindi jifungie ndani weka zbc ule mawaidha safiii kabisa usubiri pepo yako mungu anakuandalia apana samehe wahuni wanatukana hadhalani pasi na kumuogopa mwanyazi mungu alafu wanakimbilia misamaha achana nao
 
Wangapi wamefilisiwa na bank lakini hawakuita press maisha ni kupanda na kushuka avune alichopanda katukana na kazalilisha wengi huyu msiba nilimsikia kwa masikio yangu kwenye account yake youtube akimtukana lisu eti umeme umekata
Lile tusi, lilinisikitisha sana, alimsakama sana Lissu licha ya kupigwa risasi zote zile,
 
Maskini amsamehe tu,
Membe peke yake hawezi kumsamehe Musiba kwani watu walioteswa na matusi ya Musiba ni zaidi ya Membe!!! Waacheni wazikane wao kwa wao.
Mpango. Bashiru, Kalemani, Kabudi, Msukuma na kundi lote la Sukuma gang wamchangie alipe hiyo faini! Kamwe Membe asikubali kumsamehe huyo fedhuli ; ukimsamehe, you will be creating a bad precedent.
 
Back
Top Bottom