TANZIA Member deo paul55 wa JamiiForums afariki dunia

Blessed are You, Lord, our God, King of the universe, the Judge of Truth

ברוך אתה ה' אלוהינו מלך העולם, דיין האמת.

Barukh atah Adonai Eloheinu melekh ha'olam, dayan ha-emet.
 
Death is not the opposite of life, but part of it" R.I.P brother
 
Pole sana,hili tatizo itakuwa alichelewa kugundua,kucheck afya ni muhimu sana,,
 
Rest In Peace! BTW hudhani umefanya kosa kumtambulisha jina lake halisi na picha wakati yeye hakutafanya hivyo? Au alikuwa amekuambia kuwa ufanye hivyo?
 
RIP mwana JF mwenzetu.
 
Warumi 9 mstari wa ngapi mkuu?
Andiko zuri lenye maana kubwa.
RIP
Warumi 9: Maana Kristo alikufa akawa hai tena kwa sababu hii, awamiliki waliokufa na walio hai pia.

Now days kutoboa 30 ni ngumu sana asee kwa vijana waliozaliwa 90s Mungu atusaidie.

Hivi utumbo kujikunja si sababu ya Ulcers?🙄🙄
 
Poleni sana wafiwa.
R.I.P Deo Paul.
 
There must be a way ya kuficha identity ya mtu anapofariki, angeweza sema mtu anayetaka kujua zaidi aje PM or something, but huwezi mpaka weka picha yake kila kitu!
Jamiiforums wana kesi ya kujibu.

Unamuahidi mtu faragha halafu akifa unamchondoa?

Watu wanaomtunzia Maxence Melo siri zake binafsi akifa wazianike?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…