Member gani ameku-inspire katika jambo fulani

Member gani ameku-inspire katika jambo fulani

Mr. Sound

JF-Expert Member
Joined
Sep 15, 2020
Posts
2,227
Reaction score
4,773
Jf, kuna watu wametu-inspire, mambo mengi bila hata wao kujua. Kupitia mada hii wataje/mtaje member, aloku-inspire ktk jambo fulani.

LIST YANGU:

1. WALONI-INSPIRE KTK SANAA YA UANDISHI

Robert Heriel Mtibeli, MALCOM LUMUMBA, yoga, Nifah, Da'Vinci.

2.WALONI-INSPIRE KTK UCHESHI
Ushimen, KENZY, eron, Extrovert, Evelyn Salt, @Toyeye, Kalpana, Joanah, mzabzab & nk...

3. CRITICAL THINKING
Kiranga.

4.MAARIFA YA ZIADA
Mshana Jr, DR Mambo Jambo.

5.MEDANI ZA KIVITA
T14 Armata.

6. HISTORIA & SIASA ZA KIMATAIFA
MALCOM LUMUMBA, zitto junior.

7. KUSAMBAZA LIKE
raraa reree, min -me.

8.BUSARA & HEKIMA
Aaliyyah, Manyanza, Grahams, Carleen, Kelsea, Etugrul Bey,financial services.

9. SIMULIZI
@OMUGHAKA, Analyse.

10. UPENDO
Smart911 & Mahondaw.

Nawe wataje, member walokuinspire ktk jambo fulani.
 
Kwenye medani za vita, mtoe kabisa huyo T14 Armata maana jamaa haishi kuiponda Urusi. Sidhani kama ni mfano mzuri wa kuigwa katika ulimwengu wa sasa wa multipolar. 🙂

Kuwa kwenye payroll ya Biden na Kamala isitumike kama msumari wa kuwachocha watu wengine.
 
Jf, kuna watu wametu-inspire, mambo mengi bila hata wao kujua. Kupitia mada hii wataje/mtaje member, aloku-inspire ktk jambo fulani.

LIST YANGU:

1. WALONI-INSPIRE KTK SANAA YA UANDISHI

Robert Heriel Mtibeli, MALCOM LUMUMBA, yoga, Nifah, Da'Vinci.

2.WALONI-INSPIRE KTK UCHESHI
Ushimen, KENZY, eron, Extrovert, Evelyn Salt, @Toyeye, Kalpana, Joanah, mzabzab & nk...

3. CRITICAL THINKING
Kiranga.

4.MAARIFA YA ZIADA
Mshana Jr, DR Mambo Jambo.

5.MEDANI ZA KIVITA
T14 Armata.

6. HISTORIA & SIASA ZA KIMATAIFA
MALCOM LUMUMBA, zitto junior.

7. KUSAMBAZA LIKE
raraa reree, min -me.

8.BUSARA & HEKIMA
Aaliyyah, Manyanza, Grahams, Carleen, Kelsea, Etugrul Bey,financial services.

9. SIMULIZI
@OMUGHAKA, Analyse.

10. UPENDO
Smart911 & Mahondaw.

Nawe wataje, member walokuinspire ktk jambo fulani.
Asante ndugu yangu kwa compliment..Nimefarijika
 
Wako yatu kbao siwezi kuangika wote hapa
Screenshot_20241123-213132.jpg
 
DR HAYA LAND Mshana Jr
Baba Swalehe DIVISHENI FOO
Kiranga cocastic
Numbisa

Samahani mkuu Mshana Jr
Daah nje ya mada mkuu mpaka sasa mambo yanaenda poa sana mpaka nashangaa japo wenzangu wanaendelea na mambo yao ya hirizi ila mimi nakomaa kivyangu japo sio mtu wa kwenda nyumba za ibada ila naomba kwa Muumba wangu....

Mkuu ila kuna swali naomba unijibu tena kwa kufikilia sana..
Mkuu huyu mwenzangu ananishawishi sana nisiwe na urafiki na watu furani...
Tena inafika kipindi anasema hata nisiwasalimie , nikiuliza sababu anasema ety ni watu wa roho mbaya... Yani wanga

Mkuu je hivi hii imekaaje je kuna adui wa kurithi kweli .?

Na mimi sifatagi ushauri mi nacheka na wote mkuu an sijali na sijaingizwa kwenye mfumo wao..

Je ni kweli watanifanyizia au wanasibiri niwe mwenyeji mwenyeji ili wani shughulikie...???
 
Kweni medani za vita, mtoe kabisa huyo T14 Armata maana jamaa haishi kuiponda Urusi. Sidhani kama ni mfano mzuri wa kuigwa katika ulimwengu wa sasa wa multipolar. 🙂

Kuwa kwenye payroll ya Biden na Kamala isitumike kama msumari wa kuwachocha watu wengine.
Vikosi vya Urusi vipo vinakimbia uko Syria. Kutoka Allepo jana, leo jioni wamekimbia Hama kuelekea Homs na Hmeimim.

Kataa sema naiponda Urusi.
 
Kweni medani za vita, mtoe kabisa huyo T14 Armata maana jamaa haishi kuiponda Urusi. Sidhani kama ni mfano mzuri wa kuigwa katika ulimwengu wa sasa wa multipolar. 🙂

Kuwa kwenye payroll ya Biden na Kamala isitumike kama msumari wa kuwachocha watu wengine.
Kigezo ni madini yake, suala la ushabiki wake ni jambo binafsi.
 
Back
Top Bottom