- Thread starter
- #21
Mkuu, coment zako hunichekesha sana, zimejaa ucheshi & comedy ndani yake.R.i.P Classmate Warumi
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mkuu, coment zako hunichekesha sana, zimejaa ucheshi & comedy ndani yake.R.i.P Classmate Warumi
Napenda kufurahi mkuuMkuu, coment zako hunichekesha sana, zimejaa ucheshi & comedy ndani yake.
Kwenye ucheshi, panakufaa zaidi mkuu.Hivi busara zangu huwa hamzioni nyie watu
Ni jambo jema mkuu.Napenda kufurahi mkuu
Kwenye kusambaza like, wamba wana dunia yao.Hapo kwenye kusambaza like Umewapatia Tena wote wawili
Ahsante mkuu, mi pia nakukubali sana.Upo good sana mkuu
SwadaktaaNadhani lengo lake hua ni kutuchangamsha zaidi.
yupo sahihi, mitandao ni sehem ya kuhave fun kupunguza stress.Swadaktaa