Member gani ameku-inspire katika jambo fulani

Member gani ameku-inspire katika jambo fulani

Jf, kuna watu wametu-inspire, mambo mengi bila hata wao kujua. Kupitia mada hii wataje/mtaje member, aloku-inspire ktk jambo fulani.

LIST YANGU:

1. WALONI-INSPIRE KTK SANAA YA UANDISHI

Robert Heriel Mtibeli, MALCOM LUMUMBA, yoga, Nifah, Da'Vinci.

2.WALONI-INSPIRE KTK UCHESHI
Ushimen, KENZY, eron, Extrovert, Evelyn Salt, @Toyeye, Kalpana, Joanah, mzabzab & nk...

3. CRITICAL THINKING
Kiranga.

4.MAARIFA YA ZIADA
Mshana Jr, DR Mambo Jambo.

5.MEDANI ZA KIVITA
T14 Armata.

6. HISTORIA & SIASA ZA KIMATAIFA
MALCOM LUMUMBA, zitto junior.

7. KUSAMBAZA LIKE
raraa reree, min -me.

8.BUSARA & HEKIMA
Aaliyyah, Manyanza, Grahams, Carleen, Kelsea, Etugrul Bey,financial services.

9. SIMULIZI
@OMUGHAKA, Analyse.

10. UPENDO
Smart911 & Mahondaw.

Nawe wataje, member walokuinspire ktk jambo fulani.
Mimi bado
 
Mimi wangu ni Bantu Lady ,dada amejaaliwa roho na moyo wa kutoa!Mungu azidi kumpa baraka huko alipo!
Aaawww thanks enzo1988 jamani, nimeamka na nakutana na hii 😍
Amen, napokea Baraka IJN 🙏 Barikiwa sana, nathamini sana vile unanikubali humu, inamaana kubwa sana kwangu, kuna mtu anaona unachofanya na anakisema ukiwa bado hai.🙏
 
Wee naona ulishanipenda sema unajidai kunikandia hapa hadharani lakini moyoni mwako unajisema dah siku mzabzab akinitongoza nitafurahi kionja kibamia chake 🤣🤣🤣🤣
Na sikutongozi ng'oooo wee shangazi mzuri mzuri 🤣🤣🤣🤣
Nitakutongoza mwenyewe!haiwezekani utudanganye wewe ni kiwembe halafu una kibamia wakati ni mali safiiiii we mpaka nikupate labda mimi sio shangazi😅😅
 
DR HAYA LAND Mshana Jr
Baba Swalehe DIVISHENI FOO
Kiranga cocastic
Numbisa

Samahani mkuu Mshana Jr
Daah nje ya mada mkuu mpaka sasa mambo yanaenda poa sana mpaka nashangaa japo wenzangu wanaendelea na mambo yao ya hirizi ila mimi nakomaa kivyangu japo sio mtu wa kwenda nyumba za ibada ila naomba kwa Muumba wangu....

Mkuu ila kuna swali naomba unijibu tena kwa kufikilia sana..
Mkuu huyu mwenzangu ananishawishi sana nisiwe na urafiki na watu furani...
Tena inafika kipindi anasema hata nisiwasalimie , nikiuliza sababu anasema ety ni watu wa roho mbaya... Yani wanga

Mkuu je hivi hii imekaaje je kuna adui wa kurithi kweli .?

Na mimi sifatagi ushauri mi nacheka na wote mkuu an sijali na sijaingizwa kwenye mfumo wao..

Je ni kweli watanifanyizia au wanasibiri niwe mwenyeji mwenyeji ili wani shughulikie...???
Usirithi adui ama rafiki wa mtu.. Salimiana na wote ila kuwa na mipaka ya mazoea
Punguza maadui kadiri uwezavyo
 
Back
Top Bottom