Member gani ameku-inspire katika jambo fulani

Member gani ameku-inspire katika jambo fulani

Kila mmoja wetu ana lake la maana na lenye kufaa ,huyu asipo kufaa kwa lolote kuna mwingine anamfaa, so hamna hata mmoja wetu hapa jf asie na chochote cha maana hata awe nani.

Binfsi nafurahi sana kuona maandiko ya member wa zamani kuanzi 2018 kushuka chini.
 
Daddy angu mie Mbaga Jr nampenda sana hasa nikikumbuka lile hogo lake nalegea miee.

Na kababy kangu Poor Brain yaanii anavyocheka tu mie hoi .... kanaonekana ni kazuri halafu hakamaindishi vitu vidogo vidogo.

Sio kama haya manyang'au mengine yenye roho za kutu kama mafisi. Lijitu kama BICHWA KOMWE - ni la hovyo sana.

Cc: secretarybird Lloyd Munroe Extrovert
Wewe mwaka huu utachezea BAN mpaka ujuteeeeee.

"""Baby naomba tujirecord........
Nikikumiss niitazame tuuu ,,,,,"""
 
Usirithi adui ama rafiki wa mtu.. Salimiana na wote ila kuwa na mipaka ya mazoea
Punguza maadui kadiri uwezavyo
Asante mkuu...
Japo kwa ufupi ila nimejifunza kitu hapa....
Kupunguza adui unafanyaje hapo..?
 
20250112_093956.jpg
 
Back
Top Bottom