Tajiri Sinabay
JF-Expert Member
- Dec 25, 2024
- 1,333
- 3,619
Tajiri SinabayaKijana maskini!!!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Tajiri SinabayaKijana maskini!!!
Sawa tajiriTajiri Sinabaya
Dogo toka apate hela, kawa sahau ma jobless pro max wenzie.
Wewe na huyo genta wote vilaza tu.
UKO SAHIHI KABISA MKUU.Popote pale utakapouona uzi wangu mimi Tajiri sinabaya, au uzi wa GENTAMYCINE usiupite bila kuusoma, huwezi kukosa MADINI ya kutosha kwenye kila herufi ya maandiko yetu.
Asanteni sana.
Vilaza ndiyo nini mkuu?Wewe na huyo genta wote vilaza tu.
😃😃😃😃 min -me alipinga mchakato wa kuungwa kwangu uwanachama kwa sababu alijuwa Soon tu natoboa.we boya sijui uli pataje nafasi kwenye chama changu Cha ma jobless pro max?
Unathibitisha jambo la kushangaza mno.Kweli kabisa
Watu waliolazimishwa kulalaVilaza ndiyo nini mkuu?
We mwenyewe ulishajifananisha na genta Sasa mi ningéfanyeje.Unathibitisha jambo la kushangaza mno.
Ok....Watu waliolazimishwa kulala
Ungekataa, nilijifananisha ki akili siyo kimwili.We mwenyewe ulishajifananisha na genta Sasa mi ningéfanyeje.
Nikajua ulijifananisha naye Kwa kila kitu.Ungekataa, nilijifananisha ki akili siyo kimwili.