Mwanangu Intelligent businessman alileta idea ya Jobless Pro Max Club (JPMC), sijui ikaishiaje.Mimi nakubaliana nao kabisa. Ukiendekeza kima utavua mabua. Ngozi nyeusi ina kero nyingi sana no matter awe na elimu au fedha. Labda awe amezaliwa nchi zilizoendelea. BTW badala ya kulalamika kila kitu kwa nini tusiunde na sisi vya kwetu (kama tunadhani ni rahisi).
Navyokusomaga una akili ya kitajiri!Serious boss, ujue nahitaji sana. Nishachoka kulewa Kitambaa cheupe.
Matola kaweka details, utaturudishia feedback kama utawacheki. Uko ndio Kuna connection aiseeWakuu kuna anayeifahamu Peninsula club ya masaki aweze kutuelezea masharti na mipangilio yake ipoje?
Kiranga Tresor Mandala mrangi Mad Max
Hahahaa sitatoboa aisee. Mi wa kusuburia Mshahara wa January hapa nitakubaliwa kweli.Mpaka wakukubali kazi yake siyo ndogo...
Sijui uwe na nyumba yako mwenyewe siyo ya kupanga, usafiri, kazi/Biashara yenye kipato kisichopungua million5 kwa mwezi, michango ya kuchangia club zao ni pesa ndefu ndefu...
Cc: Mahondaw
Hao wahindi kwanini walikufukuza.Sihitaji boat,fishing rods ninazo,naulizia kuvua tu kawaida,kuna sehemu karibu na daraja la tanzanite nawaonaga wahindi wanavua,kuna siku nikasema nikajichanganye,nilikuja kutolewa mkuku mkuku 👮View attachment 3673859
Hii ikoje kaka. Kutakua na madini sana humu.
Kwa wenzetu fishing pier za kumwaga,na hazina masharti,winter time mida ya usiku watu kibao wanapiga kalamari,fishing ni hobby ila africa bado serikali zetu azijatia kipaumbele,mimi muda mwingine naenda beach za kigamboni ndio hazinaga mambo mengi,nishajaribu kuvua coco beach,nikatolewa nduki pia,tena ilikua weekday aisee!Hao wahindi kwanini walikufukuza.
Sehemu za kufanyia sport fishing(recreation) ni chache sana ukikuta pamejengwa basi hapo ni sehemu ya taasisi,hotel au mtu binafsi.
Hatuna Sport Fishing Pier ambayo inakidhi vigezo.Nchi nyingine wana Sport fishing pier ambazo zipo safe kufika watu wa rika lote pembeni zina guard rail.View attachment 3673920View attachment 3673921
Tuanzishe tu club yetu sisi wavuta salary advance, haipendezi kukaa kinyonge hiviBora ata hao Gymkhana, umasikini wako ndio utafanya ukakosa u-member, Hawa Yatch Club wanajiona special sana. Yaani membership hupati ata iweje.
Namba hiyo hapo jiachiee🤣Serious boss, ujue nahitaji sana. Nishachoka kulewa Kitambaa cheupe.
Mkiona neno GYM tu mnajua sehemu au club ya mazoezi.Kwani huwezi jifanyia mazoezi mwenyewe?
Ndege wafananao.Tuanzishe tu club yetu sisi wavuta salary advance, haipendezi kukaa kinyonge hivi
Yaani kucheza unakapiga ka mpira halafu unakafuata ka mpira kwa kagari kama ka Lod iLofa😅Ni mambo ya matajiri wakilinda class yao, kwa hiyo wapo sawa.
Ila kwa upande wako pengine receptionist aliona hufanani na kucheza golf 😁😁😁
Wanaoalikwa kukatika ni kuwaburudisha tu kwa siku hiyo hawana hela wale wadadaHiyo yatch club ndo hizo naona wanawake wanakatika nusu uchi kwenye mtumbwi?